Starehe zangu ni kula, kucheza game na kuangalia series

Starehe zangu ni kula, kucheza game na kuangalia series

Kakuweza aisee🤣😃😃, pole sana.
Ila jitulize kwa kusikiliza ost hizi
1, When the wind blows by Nirvana in fire.
2, watching over you - jeong sewoon(alchemy of souls).
3, Good day - melo mance (Mr sunshine).
4, can you hear my heart (no rap ndo nzuri)- kolay ( scarlet heart).
5, when I close your eyes - bonggu (when the river rises).
adriz, Selikavu, Numbisa, Khantwe, Franky Samuel, Mvaa Kobazi enjoy hizo nyimbo nzuri
Kwel mkuu nijitulize tuu😃ngoja nishushe ila baadhi ninazo ulinipa...
 
Kwanini mnatumia flash zinazofanana bila hata kuziwekea holder?
Siku zote huwa ananiomba nimrushie siku hiyo alijikuta fundi kachukua mwenyewe kurusha.. flash yake ndogo kwenda kufuta folder la movie kwenye Flash akachanganya akafuta kwenye Pc....

Na vile folder lilivyokuwa kubwa Recycle Bin wakaona hawezi kazi😃
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😆 pole sana aisee
Mshtuko wake wa hasira hapo sipati picha.
 
Back
Top Bottom