Starehe zangu ni kula, kucheza game na kuangalia series

Selikavu zile series za kichina uli angalia??
Kaka yaliyotokea acha tuu...

Nilishusha mzigo kama GB 70 wote nikaweka kwenye pc mdogo wangu akaja akafuta folder zima la movie akijua ni flash yake ndo anafuta...

Hapa nangojea nipate muda niunge bundle nishushe tena...

Nitakupa mrejesho Mkuu shukan kwa Kujali🙏
 
Kakuweza aisee🤣😃😃, pole sana.
Ila jitulize kwa kusikiliza ost hizi
1, When the wind blows by Nirvana in fire.
2, watching over you - jeong sewoon(alchemy of souls).
3, Good day - melo mance (Mr sunshine).
4, can you hear my heart (no rap ndo nzuri)- kolay ( scarlet heart).
5, when I close your eyes - bonggu (when the river rises).
6, our tears - hyolin (hwarang)
adriz, Selikavu, Numbisa, Khantwe, Franky Samuel, Mvaa Kobazi enjoy hizo nyimbo nzuri
 
Kaka yaliyotokea acha tuu...

Nilishusha mzigo kama GB 70 wote nikaweka kwenye pc mdogo wangu akaja akafuta folder zima la movie akijua ni flash yake ndo anafuta...

Hapa nangojea nipate muda niunge bundle nishushe tena...

Nitakupa mrejesho Mkuu shukan kwa Kujali🙏
Kwanini mnatumia flash zinazofanana bila hata kuziwekea holder?
 
Back
Top Bottom