Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
An idle man is a devil's [emoji49] worksshopUzinzi haufai shekhe wa dubai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
An idle man is a devil's [emoji49] worksshopUzinzi haufai shekhe wa dubai
Pambana Sana bro, usi rudi na mfuko wa Rambo tafadhali🤒🤒Oh...niko German... Frankfurt
So uzinzi Ni sawa au sio??An idle man is a devil's [emoji49] worksshop
Mi sio fan wa threat za kitoto mkuu, nipo kwenye style hii kitambo.Ibadilishe hiyo lifestyle mkuu lasivyo
Uzinzi sio sawa, ila badili baadhi ya routine ambazo itakufanya uchangamane na raiSo uzinzi Ni sawa au sio??
Mkuu mi ni mmoja Kati ya watu ambao nina versatility na Nina ji diversify Sana.Uzinzi sio sawa, ila badili baadhi ya routine ambazo itakufanya uchangamane na rai
Mkuu mi ni mmoja Kati ya watu ambao nina versatility na Nina ji diversify Sana.
[emoji117]So worry out bro[emoji120]
😆Pambana Sana bro, usi rudi na mfuko wa Rambo tafadhali🤒🤒
Pamoja mkuu🙏🙏, ni kuto kuelewana kidogo 🤒Hicho ndiyo nilichokimaanisha awali so hakuna shida, nilipo kuja post ya pili nikaona kama nimechukulia kukutisha, tuko sawa cha msingi fuaraha yako
Tuta kukimbizaa😆🤣🤣
Doh☺️Tuta kukimbizaa😆🤣🤣
Na wewe una ona hivyo hivyo 😂😂😂 itulize iache wenge
HapanaNa wewe una ona hivyo hivyo 😂
Sijui shida nini??, Ngoja niizime tu. See u laterHapana
Eeh ukilaamba mwenye mikosi lazima ikupateeti wanasema inaleta nuksi na mikosi🤣
Eeeeh huamin eeeehAaaaah wapiiiii....
Kwa hali hiyoo khaaaa 😂😂😂😂