Starehe zangu ni kula, kucheza game na kuangalia series

Starehe zangu ni kula, kucheza game na kuangalia series

Kama una majukumu tayari basi badilisha mfumo wako wa kupumzika. Badala ya kutazama movie fanya kitu kingine mfano kumtoa binti wa jirani aliye 18+ dinner mkaongea mawili matatu, kumtembelea rafiki yako kwake, kujifunza kitu kipya mfano lugha.

Mambo ni mengi mda wa kuishi mchache huwezi yamaliza.
Ni lugha gani nzuri kujifunza kwa hii dunia achana na kichina? Maana boss wetu anatusihi tujifunze kifaransa Ila najihisi nimezeeka kujifunza lugha mpya?
 
Wewe bado haujaanza kuishi. Na nina uhakika either ni student au ni muongo, attention seeker anayetafuta kurelate, na nina uhakika ni under 22 kama zaidi ya hapo basi relatively lazima utakuwa huna akili. Sasa subiri uanze kuishi, then utagundua life sio fair na usipokuwa mjanja utageuzwa doormat na utapigika mpaka utaona game na movie ni upumbavu. And the fact kwamba ndani ya mwaka tu tayari una posts 15,500, means approximately una post comments 36 per day on average. Hiyo ni evidence tosha kwamba hauna majukumu wala haujaanza kuishi na mimi nipo sahihi.

Prome me wrong dogo.
 
I got no time or energy, to prove anything about my life to a random stranger.
 
Dah kweli nime amini maisha Yana hitaji mengi.

👉Mwezi huu Umekuwa wa kiutofauti sana upande wangu, aisee niko bored kinyama.

Starehe zangu ni kula, kucheza game na kuangalia series.

👉Sinywi pombe, sivuti bangi na hata sio mtu wa viwanja.

Naona vitu ni vile vile, nothing seems new to me.
👉Watu wa style kama yangu, huwa mnaishije🤒
View attachment 2783816
Mbona schedule kama yangu mzee...
 
Back
Top Bottom