Starehe zangu ni kula, kucheza game na kuangalia series

Me nitawalaumu wazazi wako kwa kukutazama tu kijana wao unabalehe bila kukupa muongozo na utaratibu wa kuishi kama mtoto wa kiume.

Hivyo vitu unavyofanya ni distractions tu za kukutoa kwenye uhalisia. Sasa mtu unatazama movies, series na kucheza video games hauna interaction na makundi ya wanajamii kama wazee, vijana wenzako, mabinti, wanajumuiya mbali mbali zinazokuzunguka na mbaya zaidi unaishi mwenyewe, hayo ni maisha ya namna gani sasa?
 
Una uhakika upi mkuu??, Shida ya kuji fanya Mr perfect ndo hii.
👉Una jua kitu gani kina faa kwa mtu au kipi kisicho faa🙄.

2, ku socialize tuna socialize Sana, Afu Baada ya kusocialize - hauna muda kwa ajili yako??.

3, nami nawalaumu wazazi wako, kufundisha miongozo ya kike.
👉Ya kufuata yasiyo kuhusu🤒
 
Back
Top Bottom