Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
-
- #701
Una uhakika upi mkuu??, Shida ya kuji fanya Mr perfect ndo hii.Me nitawalaumu wazazi wako kwa kukutazama tu kijana wao unabalehe bila kukupa muongozo na utaratibu wa kuishi kama mtoto wa kiume.
Hivyo vitu unavyofanya ni distractions tu za kukutoa kwenye uhalisia. Sasa mtu unatazama movies, series na kucheza video games hauna interaction na makundi ya wanajamii kama wazee, vijana wenzako, mabinti, wanajumuiya mbali mbali zinazokuzunguka na mbaya zaidi unaishi mwenyewe, hayo ni maisha ya namna gani sasa?
DuhTayana-wog acha hayo ma emoji bhana๐๐
Leo nina furaha mbo, so sitaki matatizo ๐
SawaLeo nina furaha mbo, so sitaki matatizo ๐
Ume haribu hapo, kwenye emoji ya masikitiko ๐.Sawa
Tugawane hiyo furaha basi
Wengine mna furaha,wengine tunaitafutaUme haribu hapo, kwenye emoji ya masikitiko ๐.
๐Huzuni ya nini??, Au hutaki niwe na furaha๐
Furaha kwako ni ipi???,Wengine mna furaha,wengine tunaitafuta
Furaha gani hiyo??, Unayo itafuta??Wengine mna furaha,wengine tunaitafuta
NakuraniaFuraha gani hiyo??, Unayo itafuta??
uk mkuuUna taka visa ya kwenda wapi??,
Noti unzo??, Nimpigiee mtu chap.uk mkuu
๐๐๐bado hujaliaaka black dawg
๐ญ๐ญ๐ญ๐ฟ
kuhusu noti ndo huzuni mkuu๐ญ๐ญ๐ญ majonzii sina kitu babaNoti unzo??, Nimpigiee mtu chap.
๐ Within 1 week,
mkuu usifanye utani ๐ญ๐ญ nahitaji faraja zenu๐๐๐bado hujalia
Pole mkuu , tupumzike. Labda kesho itakuwa ya faraja.mkuu usifanye utani ๐ญ๐ญ nahitaji faraja zenu
sawa mkuu kesho itakua huzuni maana kuna maandamano na yakioigwa mabomu ya machozi ni huzuni na vilio๐ญ๐ญPole mkuu , tupumzike. Labda kesho itakuwa ya faraja.
Daah๐, kweli ni vilio ๐ฅฒ๐ฅฒsawa mkuu kesho itakua huzuni maana kuna maandamano na yakioigwa mabomu ya machozi ni huzuni na vilio๐ญ๐ญ
mSikitikoDaah๐, kweli ni vilio ๐ฅฒ๐ฅฒ