ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Saa saba juu ya alama saa nikiitazama
Nimeshaachana na Jacki sasa namfata Salama
Saa kumi na mbili n'na appointment mademu wawili
Achana na Lily ambae tutakutana saa mbili
Jenny wa Mikocheni ambae sasa hayupo duniani
Aliyekuwa akinisubiria pale Vatcan Kijiweni
Amina na Semeni tunakutana kwa Macheni
Na kila siku nawabadilisha tena kwa foleni
Huo ndio uliokuwa mwenendo wa maisha yangu
Mimi viwanja kujivinjari na machangu, oh ooh
Niliona fahari-ii, yeah
Starehe mi nilizifanyia papara
Nilibadili mademu kama vidaladala
Nikienda nimepanda hili, nikirudi lile
Nilitamani starehe zote nizitawale
Hata kumkumbuka Mola wangu ilikuwa ndoto
Nilitekwa na ulimwengu kumbe naukimbilia moto
Katika kubadili wasichana nilikubuhu
Nilitembea na watoto wa geti, machangu na masista duu
Ubaya kwamba condom sikuitambua
Kwa kujua kwamba ladha ya mapenzi itapungua
Kumbe nilikuwa ninapotea njia
Niliyoshauriwa mimi niliyapuuzia
Idadi ya wanawake ikawa lukuki
Ikafika kipindi wengine nikawa siwakumbuki
Ona, ona, aah
Ona sasa yaliyonisibu kwa dada yake Bashiri
Nilishamsahau kama tulishakutana kimwili
Nilivyomuona, nikamtongoza tena
Tena kwa mara ya pili
Ona sasa, aah aah