Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Ni ngumu sana chawa kukuelewaUelewa wako ni mdogo sana kama jina lako. Haukustahili kuwa kiongozi hata hutuba za jina lako ni km mtu aliyepoteza matumaini.
Hiyo comment atakaelewa ni mtu mwenye akili kubwa ila kwa kuwa wewe ni chawa wa samia km mwijaku kwa elimu ya kuunga unga huwezi kuelewa.
Hapo umekariri ni uzwaaji wa bunduki tu. Wewe chawa na huyo boss wako mlitakiwa muwe bongo muvi km ile muvi ya Royal Tour
Umeizidi nini Marekani km unaona vyote ni haramu na bado unapokea misaada kwake? Tangu 1961 serikali ya ccm inahangaika na matundu ya choo tu na umeme wa mgao.
- Unasilaha gani ulizozitengeneza mpk uuze?😁😁😁 Tangu 1961 hamjatengeneza bunduki mnanunua kwa fedha nyingi za kodi za watanzania. Hao wanajeshi wanafanya mazoezi ya kuvunja matofali kwenye tumbo na kukamata nguo zinazofanana na sare za jeshi. Kuhusu Marekani kuuza bunduki ni sawa kwasabb wanatengeneza, kwa uelewa wako mdogo umeelewa na Tanzania inatakiwa iuze bunduki kwenye maduka km marekani. Serikali yako wakiuza bunduki madukani km wamerekani wanajeshi watakosa bunduki hadi polisi. Kuhusu mauaji siyo kigezo cha kutokuuzwa bunduki km serikali ina ulinzi imara. Mbona wamerekani wanauza bunduki na hakuna hata kikundi cha boko haram au Islamic state?
- Kwa akili ya bongo muvi ya uchawa ni sababu gani zinazozuia Starlink isifanye kazi Tanzania? Uchawa utakuua
- Ni sababu gani tusipokee pesa kwa paypal? Kenya, Uganda mpk Ethiopia wanapokea pesa kwa paypal ila uchawa na ujinga wa viongozi hawajaruhusu. Unajua meua ndoto za watu wengi sana? Mtu katoka chuo, ametengeneza App yake anataka kuiuza dunia nzima ila shida ni njia ya malipo. Paypal hakuna
Nyie chawa na huyo mwenye jina mnawaza ccm ishinde kwa vyoyote kuliko kuangalia maendeleo ya wananchi