Starlink internet sasa yaingia Zambia, Wazambia sasa kupata internet ya kasi isiyo na kikomo

Ni ngumu sana chawa kukuelewa
 
Wewe K ni miongoni mwa watu mnaojionaga mmesoma sana kuliko wengine na mnajua sana kumbe ushuzi mtupu. Kwa sababu unaipenda sana Marekani tafuta mume akuoe uwe raia wa huko.
 
Zitahongwa hata 100b ili nape akabiziwe aside akafsnya huo ujinga
 
Na usitegemee jipya kwa huyu ajuza hapa kwetu ,zitaletewa figisufigusi mpaka
 
Kuaccess satelite internet ni kitu rahisi sana,tena na starlink inavyosogea kwa nchi jirani,rwanda,kenya na sasa zambia ni jambo la muda tu watu tutakua nayo majumbani na tutalipia kwa safari com ya kenya kama ilivyo kwenye paypal tu [emoji3]
Sisi watu wanaotutawala ni kama manguruew tu kama nape ananenepiana tu huku wanachi wakiteswa
 
Wewe K ni miongoni mwa watu mnaojionaga mmesoma sana kuliko wengine na mnajua sana kumbe ushuzi mtupu. Kwa sababu unaipenda sana Marekani tafuta mume akuoe uwe raia wa huko.
Hapa ndio umedhihirisha uelewa wako umeshindwa hoja sasa umehamia kwenye matusi na kejeli, na wabongo wengi ndivyo tulivyo tukishashindwa kujibu hoja huwa tunakimbilia kuwaita waliotushinda wajuaji, kumbe in real sense tulioshindwa ndio hatujui basi tu defensive mechanism ili tusionekane tumeshashindwa
 
Ficha upumbavu wako wewe. Mtu anayetaka Tanzania tuuziane silaha kiholela kama wanavyofanya Marekani ana hoja gani ya kujibiwa vizuri? Mimi sina haja ya kumjibu mpuuzi yeyote anayeona kila wanachofanya wazungu ni sahihi.
 
Acha kurukaruka kama bisi kikaangoni, hoja yake ni kuwa haya tunayong'ang'ania sisi ili kujitofautisha na wazungu yametufikisha wapi kimaendeleo, zaidi ya kutufanya hadi leo tuko kwenye lindi la umasikini huku vitu muhimu kama (maji, umeme, afya, elimu, teknolojia) bora bado vikionekana ni anasa kwenye nchi yetu
 
Unavyomjibia umekuwa mkewe?
 
Safi sana, tutazinunuwa Zambia na Kenya tuzifunge tule uroda, kodi wapelekewe Wakenya na Wazambia.

Nape ni fala sana yakija masuala ya biashara. Haelewi kama wizara yake kwa dunia ya leo ina biashara kubwa kuliko yoyote ule, wizara hiyo apewe maharage mwenye uzowefu wa biashara za IT.

Nape Nnauye
 
Kumbe kuna wakati we mzeee utimamu unakurejeaga
 
Kumbe kuna wakati we mzeee utimamu unakurejeaga
Mie miaka mingi sana natumia satellite internet, nilianza na niliyowachiwa na Wacanada waliokodisha shambani kwangu, walipoondoka baada ya mradi wao kusitishwa na mwenda zake 2016 wakaniachi na subscription ya miaka mitatu. Ilipokwisha nikaibadili nikawa natumia ya konnect, mpaka leo, nasubiri ya Musk naona haiji, sasa ntaiagiza Kenye au Zambia nijifaraguwe.

Mambo madogo kina Nape Nnauye wanayakuza wapate kuvimboisha matumbo yao kwa mkupuo, hawaelewi kwa kuwaruhusu mapema wawekeze halafu ndiyo unakula nao sahani moja kiulaini kabisa.

Nape kwenye masuala ya biashara za Kimataifa hana "exposure", ni mjinga mjinga fulani hivi.
 
Nape aliteuliwa na unayemsifia kila siku!

Kubala tu mama kashindwa hata kujichagulia Waziri
 
Nina KONNECT lakini speed yao ndogo na bei zao sio rafiki. 110,000 wanakuja 45gb. Hopeless
 
Wewe K ni miongoni mwa watu mnaojionaga mmesoma sana kuliko wengine na mnajua sana kumbe ushuzi mtupu. Kwa sababu unaipenda sana Marekani tafuta mume akuoe uwe raia wa huko.
Mkuu kusema kweli wewe una kichwa kigumu na una uelewa mdogo sana…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…