Starlink yawasilisha maombi ya leseni kwa TCRA. Je, safari hii watatoboa? Ushindani wa gharama na ubora wa internet utakuwaje?

Awali ya yote bwana Musk alitakiwa awe na kampuni ambayo Ina public shares Yani kampuni yake iwe listed Dse,Alafu awe na physical address ili utatuzi wa changamoto za mitambo yao ipatiwe ufumbuzi mapema pindi zinapotokea,na pia atoe ajira kwa asilimia kadhaa Kwa watanzania.(Wasiwe ni wazungu tu).Nadhani kazi Yao bado ni ndefu ukiachilia mbali pia Kuna kampuni yenye jina mfanano na lao wanaitwa Starlink Tanzania Ltd.Hao jamaa watawapinga sana maana brand Yao ni kubwa Tanzania.
 

Hizi drama zenu ndio maana wao wamejisajili kama Starlink Satellite Tanzania Ltd.
 
Kwenye bei Vadacam ndio wapangaji, tegemea bei za kiasilimia 10
 
Kasome Companies Act, 2002 (Cap. 212) of Tanzania,Section 30(1).Alafu niambie kama unaweza kusajili kampuni inayofanana jina na Azam uiite Azam mboga kama itakubaliwa.
Mkuu unakuwa mbishi wakati waomba leseni wametumia jina hilo na TCRA wameonesha kukubaliana nalo. Kama ni kulikataa ilitakiwa ianzie brela kabla ya kwenda TCRA. Ili kulinda jina lenu mmeshawahi kufikiria kulisajili under trademark?
 
Kampuni ya mawasiliano ya internet kupitia satellite siku sio nyingi wataanza rasmi kutoa huduma hapa uswahilini baada yakuanza mchakato wakusajili huduma zao
 
Kwanini wengi wanahisi starlink itakuja na punguzo la gharama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…