Shida Zetu
JF-Expert Member
- May 9, 2016
- 305
- 835
Hao mawaziri hawaogopi D.O.G.E?Makampuni yatawahonga mawaziri ili wasipewe kibali.
Rosti tamuMakampuni ya simu yana pesa nyingi sana,kunahitajika viongozi wasioendekeza njaa kwenye kufanya maamuzi magumu yenye kuangalia maslahi mapana ya nchi......
Hawa jamaa sijui wametoka kijiji ganiHaya mkuu, wenye JF yao wameunganisha mada yako na huna la kuwafanya 😂
Kuna options nyingi unaweza chagua kutokana na mfuko wakokununua vifaa ni KSH 88K = 1.7M
hiyo 130k ni basic plan😂
kuna mkenya nilimsikia anasema bora zuku tu
Kit ya 88K pia ipo, hizi device zipo tofauti tofautihapo itafaa
niliona May wanasema 88k itakua wamepunguza
na hua wana toa punguzo la 55% mara nyingine, mseleleko upo
Companies are separate entities hata kama owner wa hizo subsidiaries ni mmoja.Starlink netherland inayomilikiwa na Elon musk=99 share
Space X inayomilikiwa na Elon musk = 1 share.
Kwa TZ na kwa mtandao wa Voda hizo GB 50 kwa mwezi utazipata kwa 100,000/=Sio ghali sana hapo tu Kenya imeenea Kila Kona kit Yao yote ni laki tatu tu Unlimited kwa mwezi 135,000 (Nyumbani)
▪️GB 50 kwa mwezi - 30,000
Kikwazo ni huyu mwendawazimu hapo alikuwa anakula payroll ya mabunda toka kwa hawa ISP wa mitandao ya simu😂
Kwani serikali inashindwa nini kuwaacha ISP wote watoe huduma ya vifurushi wanavyoona wao inafaa, maana kila kitu ni ushindani, wao TCRA waangalie wasivunje sheria tu...hata ISP atoe 3 kwa 500 tatizo linakuwa wapi?Bei hazitofautiana sana, In economics there is something called oligopoly market structure na hizo internet service providers ziko katika soko la namna hiyo. Ingekua monopoly wangeweza kuweka bei wanazozitaka, kwa Kasi ndo Kuna ushindani Zaid na area of coverage
#No malice to anybody
Hivi alikuwa anajua hata kirefu cha SEACOM kweli 🤣🤣🤣🤣Kikwazo ni huyu mwendawazimu hapo alikuwa anakula payroll ya mabunda toka kwa hawa ISP wa mitandao ya simu😂
D.O.G.E soon itakuja mpaka TZ na itaondoa wengi sana makaziniHao mawaziri hawaogopi D.O.G.E?
kampuni bila hata mtanzania kushika hisa what a https://jamii.app/JFUserGuideBei zitapungua? Au wataambiwa waendane na bei za washindani zilizopo?
Najua kwenye ubora jamaa atawapiga chenga,
View attachment 3152628
Meanwhile hivi ndivyo voda na wenzake walivyo sasa hivi
=====
Baada ya muda mrefu wa Watanzania kuhoji kwanini Tanzania hatujaruhusu uwepo wa Internet ya Starlink kutoka kwa tajiri Elon Musk, hatimaye leo Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa tangazo kuonesha Kampuni hiyo imeomba kupatiwa leseni ya Kitaifa ya Miundombinu na Leseni ya Kitaifa ya Huduma ya Mifumo Tumizi.
Kwa muda mrefu Wananchi wamekuwa wakihoji kwanini Tanzania hatuna huduma hii na hasa ukizingatia kwa wenzetu majirani wanayo; Je, kwanini Tanzania hatupati huduma ya starlink nini shida?
Wakati hapa kwetu kumekuwa na kususua kupokea huduma hii wananchi wakihoji kwanini: Waziri Nape kwanini husemi ni vigezo gani ambavyo Starlink hawajatimiza? Au wamegoma sharti la kuzima mtandao muda wowote mkiamua?
Katika moja ya fafanuzi zake, aliyekuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye alisema kuwa Elon Musk hakuwa na mpango wa kuweka ofisi ya Starlink nchini katika hatua yake ya kuwekeza katika utoaji wa huduma ya intaneti, hivyo ingeweza kuleta usumbufu pale ambapo wateja wangehitaji msaada zaidi.
Na haya yalikuwa majibu ya Nape, kuwa serikali haikuwa imeweka vikwazo vyovyote ila bwana Elon hakuwa na mpango wa kuanzicha huduma hiyo nchini: Waziri Nape: Elon Musk hakuwa na mpango wa kuweka ofisi Tanzania
Hata hivyo, Februari mwaka huu, akiwa bado Waziri, Nape Nnauye alisema Kampuni hiyo inakamilisha hatua za mwisho ili kupata vibali vya kutoa huduma nchini. Aliongeza kuwa ikishatimiza taratibu zote itaanza kutoa huduma na kwamba Serikali inasubiri wakamilishe tu taratibu hizo.
Sasa hivi Kampuni hiyo imeomba leseni tena na TCRA kwa sasa imeweka wazi kabisa uombaji huo tofauti na awali ambapo haikuwa wazi. Sasa maswali ya kujiuliza ni
- Bei zitapungua? Au wataambiwa waendane na bei za washindani zilizopo? Najua kwenye ubora jamaa atawapiga chenga
- Je, sasa hivi amekubali kujenga ofisi au ile ilikuwa janja janja ya kipindi kile?
Hawawezi kumuhonga Jerry SlaaWatahakikisha wanamwaga pesa hawa
Huyo msenge alioleta upumbavu huo ningemtukana straight away. Yani mtu anataka kulipa kwa rates za ulaya wewe unaleta ushenzi wa TGS D.Lazima watapelekwa kwenye rates zetu. Kuna taasisi moja iliundwa kwa ushirika na nchi za Ulaya, walikuwa na mpango wa kulipa mishahara minono kama ya Ulaya. Wizara ya fedha ikakataa, ikataka walipwe kwa ngazi za Tanzania. The same happened kwa TBL wakati inabinafsishwa kwa ubia.
Last time walipewa sharti wawe na ofisi Tanzania, may be mambo ya kodi, na kufanikisha udukuzi
Wajiandae na mafuriko hapa Tanzania. Kumiliki starlink itakuwa sawa na kujenga kwako kuepuka kero za mwenye nyumbaNaona raia wengine wa nairobi wanasema ndani ya jiji la nairobi speed si kubwa kwa sababu ya majengo kukaribiana na signal boosters za wanaotumia safaricom hivyo zinaingiliana na mawimbi ya starlink. Pia starlink wenyewe wamesitisha kuuza vifaa vyao wakisema watumiaji wamekuwa wengi kuliko bandwidth ya hapo.
Ila nje ya nairobi watu wanakula speed za kutosha mpaka mb 200 download speed.
Mama anapenda sana mikopo, Atapita nayo hii ...Haitawezekana aisee. Serikali haitaki kulegeza maisha ya wananchi.