Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kucheza na timu zenye uwezo mkubwa na wachezaji mahiri wanaocheza Ulaya timu zenye uzoefu mkubwa na heshima kubwa kisoka Afrika na duniani inabidi uingie uwanjani kupigana jihadi kwa jasho na damu ili kupata matokeo, tumeona namna ndugu zetu Msumbiji na Angola walivyong'ang'ania vigogo tishio kabisa Misri na Algeria na kupata alama.
Vivyo hivyo Guinea haikupewa nafasi kabisa dhidi ya wababe wa kihistoria Cameroon ila jamaa wamepambana mpaka kimeeleweka. Vipi Cape Verde kuwapiga Ghana hatujapata cha kujifunza? Nadhani kama nchi tumeenda AFCON tujue tumeingia kwenye mapambano hakuna kupigwa kinyonge lazima tuingie na mikakati yetu ya iwe mvua iwe jua lazima Morocco aachie point.
Wachezaji lazima wahusiwe mchezo dhidi ya morocco sio mechi NI VITA.
Ukiingia kwenye vita kuna chaguo moja kuua au kuuawa, Morocco hawaez kukubali matokeo ya sare au kushindwa na kibonde kutoka Afrika Mashariki watatumia kila mbinu kutuadhibu hivyo lazima tuingie na mpango wa kuishangaza dunia. Tumeamua kujitoa kwenye kundi la vibonde au kichwa cha mwendawazimu tuna deni la kuithibitishia dunia kwamba kweli tumetoka huko
Kazi kwenu timu ya hamasa na benchi la ufundi taifa stars wafikishieni ujumbe huu vijana wetu, heshima ya nchi ipo mikononi mwao
Wapambane kama hawatakuja kupambana tena hakika juhudi zao zitaandikwa kwa wino wa dhahabu na kuenziwa milele katika taifa la Tanzania
Mungu ibariki Tanzania [emoji1
Mkuu usijipe stress kwa stars hii!usitegemee makubwa kabisa!!Kucheza na timu zenye uwezo mkubwa na wachezaji mahiri wanaocheza Ulaya timu zenye uzoefu mkubwa na heshima kubwa kisoka Afrika na duniani inabidi uingie uwanjani kupigana jihadi kwa jasho na damu ili kupata matokeo, tumeona namna ndugu zetu Msumbiji na Angola walivyong'ang'ania vigogo tishio kabisa Misri na Algeria na kupata alama.
Vivyo hivyo Guinea haikupewa nafasi kabisa dhidi ya wababe wa kihistoria Cameroon ila jamaa wamepambana mpaka kimeeleweka. Vipi Cape Verde kuwapiga Ghana hatujapata cha kujifunza? Nadhani kama nchi tumeenda AFCON tujue tumeingia kwenye mapambano hakuna kupigwa kinyonge lazima tuingie na mikakati yetu ya iwe mvua iwe jua lazima Morocco aachie point.
Wachezaji lazima wahusiwe mchezo dhidi ya morocco sio mechi NI VITA.
Ukiingia kwenye vita kuna chaguo moja kuua au kuuawa, Morocco hawaez kukubali matokeo ya sare au kushindwa na kibonde kutoka Afrika Mashariki watatumia kila mbinu kutuadhibu hivyo lazima tuingie na mpango wa kuishangaza dunia. Tumeamua kujitoa kwenye kundi la vibonde au kichwa cha mwendawazimu tuna deni la kuithibitishia dunia kwamba kweli tumetoka huko
Kazi kwenu timu ya hamasa na benchi la ufundi taifa stars wafikishieni ujumbe huu vijana wetu, heshima ya nchi ipo mikononi mwao
Wapambane kama hawatakuja kupambana tena hakika juhudi zao zitaandikwa kwa wino wa dhahabu na kuenziwa milele katika taifa la Tanzania
Mungu ibariki Tanzania [emoji120]
Wewe unadhani kila mtu yupo Tanzania na Dar, umeulizwa Mondi ndo nani ...ungwana ni kujibu tu ni mtu flani.mjinga niwewe usiemjua mondi
Unyonge uwa unatugharimu sana kuna mechi taifa stars tulikuwa tuna uwezo kabisa wa kushinda ila unyonge ndio uliotugharimu tukafungwa
Hapo unapotosha, Martinez goalkeeper wa Argentine aliwanyima watu uhuru kombe la dunia lakini alikuwa anatokea timu ya Aston Villa iliyokuwa nafasi ya chini wakati huo.Yaani Chelsea hii inayopumulia mashine huko EPL ndio mchezaji wake atufanye wanyonge?
Hapana labda useme sababu nyinginezo
Ni heri kuifatilia staz kuliko kumfatilia mhuni asiye na tija kwa timu.unaacha kufatilia mambo yamaana unaifuatilia staz?unahisi staz itafanya maajabu Gani kwenye haya mashindano?
Kesho stars tutaionesha AFRIKA, boli linapigwa vipiunaacha kufatilia mambo yamaana unaifuatilia staz?unahisi staz itafanya maajabu Gani kwenye haya mashindano?
Hichi kilio cha unyonge mpaka lini?Nini sababu ya unyonge mkuu?
wakibaki nchini sio[emoji23]Kesho nasubiri mashabiki wa mchongo wa bongo akina mwijaku na mavigogo wa wizara na idara ya mpira huku mashabiki halisi wenye uwezo wa kujibrand kitamaduni na rangi za Taifa akina UTOPOLO wakibaki nchini. Namwamini shabiki mmoja tuu Bongozozo
Muhamasishaji mwenyewe Ahmed Ally[emoji23][emoji23]
Hapa umeongea kama muhamasishaji kabisa mkuu..!!