Stars isipojifunza kwa Angola na Guinea tutapigwa hadi tuchakae

Stars isipojifunza kwa Angola na Guinea tutapigwa hadi tuchakae

Ona wenzetu mashabiki waliowapeleka na jinsi walivyovaa. Kesho tutashuhudia mashabiki Wavaa suti na vi scaff vya rangi ya bendera ya bongo huku mashabiki wa kweli akina utopolo wakishangilia kwenye vibanda umiza
 
Back
Top Bottom