Stars isipojifunza kwa Angola na Guinea tutapigwa hadi tuchakae

mikakati yetu ya iwe mvua iwe jua lazima Morocco aachie point. Tusipate aibu ya kufungwa magoli mengi zaid afcon
 
Kama ngoma yaani kesho,ngoja ni bet kabisa ,tutachakaa yaani
 
Kusema kweli kabisa lazima tupigwe. Wakituhurumia sana ni 3-0
 

Mkuu usijipe stress kwa stars hii!usitegemee makubwa kabisa!!
 
Unyonge uwa unatugharimu sana kuna mechi taifa stars tulikuwa tuna uwezo kabisa wa kushinda ila unyonge ndio uliotugharimu tukafungwa

Unyonge = uoga ulipitiliza.

Unyonge ni concepr ya kisasa tu kuhalalisha uoga
 
Yaani Chelsea hii inayopumulia mashine huko EPL ndio mchezaji wake atufanye wanyonge?

Hapana labda useme sababu nyinginezo
Hapo unapotosha, Martinez goalkeeper wa Argentine aliwanyima watu uhuru kombe la dunia lakini alikuwa anatokea timu ya Aston Villa iliyokuwa nafasi ya chini wakati huo.
Hoja yangu ni kuwa maandalizi mazuri ya mchezaji yeyote bila kuangalia anatokea timu gani inaweza kusababisha timu yake kufanya vizuri.
 
unaacha kufatilia mambo yamaana unaifuatilia staz?unahisi staz itafanya maajabu Gani kwenye haya mashindano?
Kesho stars tutaionesha AFRIKA, boli linapigwa vipi

-Sanaa ya uzuiaji

-Kujituma

-Kasi kwenye counter attacks

-Kushikilia bomba Kawe mpaka Mbagala
 
Kesho nasubiri mashabiki wa mchongo wa bongo akina mwijaku na mavigogo wa wizara na idara ya mpira huku mashabiki halisi wenye uwezo wa kujibrand kitamaduni na rangi za Taifa akina UTOPOLO wakibaki nchini. Namwamini shabiki mmoja tuu Bongozozo
 
Kesho nasubiri mashabiki wa mchongo wa bongo akina mwijaku na mavigogo wa wizara na idara ya mpira huku mashabiki halisi wenye uwezo wa kujibrand kitamaduni na rangi za Taifa akina UTOPOLO wakibaki nchini. Namwamini shabiki mmoja tuu Bongozozo
wakibaki nchini sio[emoji23]
 
Wasipopanic na kutojiona inferior wanaweza kuperform wonders!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…