avogadro JF-Expert Member Joined Apr 30, 2013 Posts 8,082 Reaction score 14,457 Jan 16, 2024 #41 Ona wenzetu mashabiki waliowapeleka na jinsi walivyovaa. Kesho tutashuhudia mashabiki Wavaa suti na vi scaff vya rangi ya bendera ya bongo huku mashabiki wa kweli akina utopolo wakishangilia kwenye vibanda umiza
Ona wenzetu mashabiki waliowapeleka na jinsi walivyovaa. Kesho tutashuhudia mashabiki Wavaa suti na vi scaff vya rangi ya bendera ya bongo huku mashabiki wa kweli akina utopolo wakishangilia kwenye vibanda umiza
mgunga pori JF-Expert Member Joined Jul 23, 2016 Posts 4,092 Reaction score 4,896 Jan 16, 2024 #42 Chupayamaji said: Kwenye jezi ingebidi iwepo Nembo ya Chui Tembo ama Simba.Sasa sisi Nembo yetu Huwa ni Twiga Kwa Kila jambo Twiga ana reflect kitu gani?? Click to expand... Totem as usual
Chupayamaji said: Kwenye jezi ingebidi iwepo Nembo ya Chui Tembo ama Simba.Sasa sisi Nembo yetu Huwa ni Twiga Kwa Kila jambo Twiga ana reflect kitu gani?? Click to expand... Totem as usual