kipindi cha pili bado ndugu.Naamini 1-1 itawapa motisha Stars, kwamba wanaouwezo. Waliingia kwa uoga kipindi cha 2 nahisi, ndo maana hata kumiliki mpira ilikuwa kazi. Mungu atubariki tuweze kushinda kipindi cha pili.
Duh, nitakuwa mkosefu wa fadhila nisiposema ahsanteni wadau yaani
kwa mara ya kwanza leo natazama mechi live kwenye Laptop yangu
ahsanteni wadau muliofanikisha hili, TBC uozo kabisa yaani hata kidogo
hawataki kuturushia...... Namkumbuka Tido huenda angekuwepo mambo
yangekuwa mazuri!
Kushukuru nako ni kubwabwajwa haya bana nimekusameheUngeweka na hiyo link basi tujue ni ipi uliyofanikwa na sio unabwabwaja tu......
Ungeweka na hiyo link basi tujue ni ipi uliyofanikwa na sio unabwabwaja tu......