Stars vs Moroco in JF

Stars vs Moroco in JF

Tatizo timu yetu wachezaji wote wafupi wafupi utafikiri kama waluguru vile!
 
lione kwanza wengine hatuna interest na mpira wa kibongo peleka huko huo utumbo.
 
wamorroco hawaamini kabisa kinachoendelea. mashabiki hawana raha kabisa maana wanajua algeria anaongoza na wao wakifungwa tu shughuli ipo
 
Huyu Number 14 wa Anzhi sasa hivi atatuuwa. Mpira lazima uwekwe chini wacheze kwak utanuwa grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr.
 
Samatta na uhakika akipata mtu mzuri wa kumtangulizia atatupa bao. Ngassa na J.Aziz wangeingia wakati huu Moroko wakiwa more attacking coz lolote laweza tokea
 
Doh tuacheni utani kama mtu akisifiwa mwache asifiwe ile freekick kiboko ni upumbavu tu wa beki kurukia mtu hata mpira haujatua foul zak ijinga.
 
Wametufunga goli la 2. Rafu zimetugharimu
 
ukuta wenyewe umewekwa na watu wafupi tu.....unategemea nini....moroc 2- tz 1
 
Back
Top Bottom