Stars vs Moroco in JF

Stars vs Moroco in JF

naanza kujilaumu kwa nini sikulala....yaani tangu game limeanza jamaa wanatuchezea nusu uwanja
 
Taarabt naye si angetoka toka mwanzo lol! Star Man wetu ni Kaseja tu Pale kati Abdi Kasim leo hajapatawala kina tegete hawapo. wachezaji wengi wamekosekana.
 
kama hujui matokeo utadhani stars ndio wanaongoza (yaani wanadefend goli...)

Hii kwa lugha ya kitaalamu inaitwa kuchezewa nusu uwanja
 
What a pathetic display of football from the Taifa Stars.

They look like a bunch of high school kids playing against a professional team. They are incapable of doing the most basic stuff.

What a joke.
 
Naona 2-1 ila Mfungaji wetu TV zao wanakosea wanaandika Badalla ndio mfungaji wetu ndio nani huyo? lazima wapigwe fine kwa kukosea. hawa tutawanyamazisha Dk ya 92 leo tutalia wote uwanjani.
 
Back
Top Bottom