Startimes kuna tatizo gani?

Startimes kuna tatizo gani?

Sensei Tai

Senior Member
Joined
May 26, 2022
Posts
168
Reaction score
466
Channel pekee ninayoipata yakulipia ni ESPN pekee lakini zingine zote zimekata zimebaki tu local channels wakati bado package iko active hadi mwisho wa mwezi

Siwezi sema ni tatizo la signal strength kwamba dish imeyumba wakati local channels zinapatikana pamoja na ESPN, kama ingekua ni tatizo la dish nisingepata hata channel moja.

Wahusika natumai mpo humu mnaweza kutupa majibu nini shida mana nimejaribu kupiga call centre lakini siwapati hewani.
 
Back
Top Bottom