Tetesi: Startimes kuonesha EPL baada ya siku 11 zijazo

bora umesema. kuna jamaa nabishana nae sana, zanzibar wanapata vimatangazo vya 'wizi' kutoka uarabuni, hakuna kampuny ya cable Tanzania yenye kibali cha ligi ya uingereza. ni Dstv pekee kusini mwa jangwa la sahara,
 
startimes wamekuja kutumia futsa watu wanapenda mpira ila bado hatupo serious
 
bora umesema. kuna jamaa nabishana nae sana, zanzibar wanapata vimatangazo vya 'wizi' kutoka uarabuni, hakuna kampuny ya cable Tanzania yenye kibali cha ligi ya uingereza. ni Dstv pekee kusini mwa jangwa la sahara,
Unapozungumza haya unajua gharama za decorder ya bein sports kwa mwaka ni kiasi gani?dstv wananyonya wananchi kwa kuwalipisha gharama za channel ambazo watu hawatazami....hivi kwa premium dstv unapata zaidi ya channel 200....za nini?hata kama ukiamua kukaa kwenye tv 24hrs huwezi kuangalia channel zote ndani ya mwezi..G sports walipokuja tz walionesha premier league kwa robo ya bei ya dstv....sasa ni wakati wa wananchi kwenda mahakamani kupinga exclusive rights za dstv hapa tz....huo mkataba ulifanywa bila kushirikisha watz.....
 
kumbe naongea na mtu asiejua! bein sport hawaruhusiwi kusini mwa sahara!! wanaonunua dikoda zao ndio nakwambia wanaiba!! pengine hata hujui matangazo yana nunuliwaje - napoteza muda, hata mwanzo tulikuwa na dikoda za alijaazira, ulikuwa ni wizi!! ndio maana wanaolipia wanalipia katika nchi za kiarabu,wewe unawalipa wao ,wao wanatuma pesa uarabuni kulipia . hakuna ofisi zao tanzania.!!! !!!
 
Dstv wana exclusive rights kwa kusini mwa Africa. Star times labda waongee nao. Maana hii ni biashara.
 
Kama kweli itakuwa hivyo, itasaidia kuleta ushindani wa kibiashara
 
G.sports ilikumbwa na ukata kwa mbwembe za nusu bei. Ikafa.
Bahati ninazo dikoda zote dstv.bein.aljazeera.abudhabi. najua ninachoandika. Bein huku ni wizi
 
hawawezi, soma post nimepost, dstv wana haki ya kusini mwa jangwa la sahara kuonyesha mpaka 2019
Sorry siyo EPL ilikuwa ni UEFA ndo aliyoniambia wako kwenye manzungumzo ya kuionyesha!
 
Ninachojua baada ya siku 11 wataanza kuonyesha Copa America
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…