FFS Watanzania Wamekua wakifurahia Vitu Visivyo na Maana Kila Siku Nimeskia wamefurahi Bomba la Mafuta la Uganda kupita Tanzania na Warwanda wakijenga Bomba la Kumwaga Mavi/maji machafu bahari ya Hindi bila shaka Mtafurahi Mkiongozwa na Mheshimiwa Bwege.
Back to the Topic ni wazi mnashangalia mpaka nguo zenu za Ndani zinaonekana labda tuu hamjui gharama za Urushaji wa EPL kampuni ya DSTV Kupitia kampuni ya Supersport zilianza kuonesha taangu mwaka 1993 ligi kuu ya Uingereza.
Hivi nakua najiuliza Startimes nayo ni ya Watanzania au Wachina? Sasa kwa Taarifa tuu Gharama za Kununua EPL Mnadani ni kama £300Million pesa hii ni sawa na TZS. 900,000,000,000/= Fikra za wananchi wa nchi ya wakwepa kodi wanafurahia wanaona eti Star Times ikichukua dili la kuonesha EPL itakua ikionesha kwa TZS. 10,000 No Bei itakua kati TZ150,000 Na kuendelea Kuiona EPL ili wakave cost na hiyo bei ya rights. Kwahiyo baada ya Ligi Ghali kuingia Startimes still middle na Lowerclass wataangalia mpira vibandani tuu licha ya kuwa na Ving'amuzi vya Startimes. hii Issur niliandika hivihivi Azam nao waliporokwa na hili na wakashindwa EPL ni Expensive na Ikiongezwa usije Ukafiri you will pay 50,000 , 10,000 au 5,000.
Tusishabikie bila Uelewa wa Cost ya EPL mimi ni huwa naokoa Cost kwa kustream na naunganisha kwa HDMI lakini DSTV ni Best katika Pay Tv Jamani.
Sorry for this Shit