Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
isije kuwa kama yale ya star tv mechi moja kwa weekend
Kuunganishiwa gharama zake kiasi gani?nipo dar.Milan cable unacheki game zote
Asantee usipokilipia unabak na channel ngp?karbu znz...
hahahaaa rahaaaaaaaa startimes rahaaaa!Nimepita katika ukurasa wa facebook startimes wameandika bado siku 11 kuanza kuonesha England primier league
Hakika itakuwa ni kete nzuri sana kwa azam tv na dstv.
Naimani na startimes kuwa bei zenu zitakuwa ndogo kiasi cha kuwawezesha hata masikini kuweza kufaidi EPL.
Tunasubiria siku 11 ziishe tuu....hongereni sanaaaa startimes!
Ina maana wataonyesha mechi moja maana EPL bado mechi nne tuNimepita katika ukurasa wa facebook startimes wameandika bado siku 11 kuanza kuonesha England primier league
Hakika itakuwa ni kete nzuri sana kwa azam tv na dstv.
Naimani na startimes kuwa bei zenu zitakuwa ndogo kiasi cha kuwawezesha hata masikini kuweza kufaidi EPL.
Tunasubiria siku 11 ziishe tuu....hongereni sanaaaa startimes!
startimes rahaaaaaaaaaaaaaaaa tunasubiria utamu wa EPLHicho ckijui
huu ni mwanzo tuuu. wakianza msimu mwingine tutachek full....Ina maana wataonyesha mechi moja maana EPL bado mechi nne tu
zctv, coconut tv decoder nk
Wakuu
Kuna tetesi nimezipata kwamba startimes wataanza kuonyesha EPL siku 11 zijazo
Baada ya kupata hiyo tetesi nimeamua kutembelea page yao ndani ya facebook na nikakuta wameandika kwamba bado siku 11 tutawaletea kitu kizuri zaidi ambacho kila mmoja atakifurahia muendelee kuwa nasi na ku like ili kujua nini kinaendelea.
Kila siku wamekua wakipost kuwa bado siku ngapi leo ni 11 kesho zinabaki 10 hivyohivyo mpaka moja
Minong'ono ya kuonyesha EPL imeendelea kusambaa wanapoulizwa hawataji ninini kinakuja wanaacha kama "suprise" kwa wateja
Natamani iwe hivyo kweli ili ukiritimba wa DSTV uishe
Wadau wa michezo wametamani sana EPL ionyeshwe kwa gharama ya ndogo ya kifurushi
Haya sasa ngoja nisubiri hizo siku
Inafanyikaje mkuu, unaweza kunielekeza mkuu.Mimi nilishaamua kutumia stream tu kutazama najichagulia mwenyewe, Kwanza kwa mwezi nalipa bundle ya halotel elfu 35 napata GB 15 na nimelipia EPL HD kwa $ 19.99 kwa mwaka napata channel zangu kwa raha, naunga laptop yangu kwenye cable ya HD mpaka kwenye TV kwa raha yangu nakula vitu
Zipo hapa Dar?zctv, coconut tv decoder nk