Tetesi: Startimes kuonesha EPL baada ya siku 11 zijazo

Tetesi: Startimes kuonesha EPL baada ya siku 11 zijazo

2792cf757c3eb2b9cf3732e5d6dfdbdd.jpg
Nimetoka kwenye facebook page ya startimes sasa hivi nilichokutana nacho kuhusiana na kubaki siku 11 kimenipa mshtuko!!!..... It is shocking revelations!![emoji115] [emoji115] [emoji115]
 
Ndugu Pambeetyu alieleta mada hii ndiye ambae anapaswa kutuelimisha hii EPL sasa wengine wanaleta utani eti ni bwanake Wema Sepetu mara hii tamithilia.
 
Mimi nilishaamua kutumia stream tu kutazama najichagulia mwenyewe, Kwanza kwa mwezi nalipa bundle ya halotel elfu 35 napata GB 15 na nimelipia EPL HD kwa $ 19.99 kwa mwaka napata channel zangu kwa raha, naunga laptop yangu kwenye cable ya HD mpaka kwenye TV kwa raha yangu nakula vitu
 
Nimepita katika ukurasa wa facebook startimes wameandika bado siku 11 kuanza kuonesha England primier league

Hakika itakuwa ni kete nzuri sana kwa azam tv na dstv.

Naimani na startimes kuwa bei zenu zitakuwa ndogo kiasi cha kuwawezesha hata masikini kuweza kufaidi EPL.

Tunasubiria siku 11 ziishe tuu....hongereni sanaaaa startimes!
 
hahahaaa rahaaaaaaaa startimes rahaaaa!
 
Nimepita katika ukurasa wa facebook startimes wameandika bado siku 11 kuanza kuonesha England primier league

Hakika itakuwa ni kete nzuri sana kwa azam tv na dstv.

Naimani na startimes kuwa bei zenu zitakuwa ndogo kiasi cha kuwawezesha hata masikini kuweza kufaidi EPL.

Tunasubiria siku 11 ziishe tuu....hongereni sanaaaa startimes!
Ina maana wataonyesha mechi moja maana EPL bado mechi nne tu
 
Wakuu
Kuna tetesi nimezipata kwamba startimes wataanza kuonyesha EPL siku 11 zijazo
Baada ya kupata hiyo tetesi nimeamua kutembelea page yao ndani ya facebook na nikakuta wameandika kwamba bado siku 11 tutawaletea kitu kizuri zaidi ambacho kila mmoja atakifurahia muendelee kuwa nasi na ku like ili kujua nini kinaendelea.
Kila siku wamekua wakipost kuwa bado siku ngapi leo ni 11 kesho zinabaki 10 hivyohivyo mpaka moja
Minong'ono ya kuonyesha EPL imeendelea kusambaa wanapoulizwa hawataji ninini kinakuja wanaacha kama "suprise" kwa wateja
Natamani iwe hivyo kweli ili ukiritimba wa DSTV uishe
Wadau wa michezo wametamani sana EPL ionyeshwe kwa gharama ya ndogo ya kifurushi
Haya sasa ngoja nisubiri hizo siku

ligi yenyewe inaisha
 
Mimi nilishaamua kutumia stream tu kutazama najichagulia mwenyewe, Kwanza kwa mwezi nalipa bundle ya halotel elfu 35 napata GB 15 na nimelipia EPL HD kwa $ 19.99 kwa mwaka napata channel zangu kwa raha, naunga laptop yangu kwenye cable ya HD mpaka kwenye TV kwa raha yangu nakula vitu
Inafanyikaje mkuu, unaweza kunielekeza mkuu.
 
Mbona wamechelewa ligi inaisha wao ndo wanataka kuonesha mpira na usikute mechi moja kwa wiki
 
Kuna jamaa yangu anafanya kazi Star Times aliwahi kuniambia kuwa Wachina wako wanafanya Lobying ya hatari kuwaondoa DSTV huku Bongo nikambishia. Kipindi kile Nwanko Kanu amekuja Bongo akaniambia kuwa hawa jamaa hata Ligi kuu ya Bongo wanataka kui chukua wawe wanarusha wao baada ya mkataba wa Azam kuisha. Sasa naanza kuamini huenda kuna ukweli hapa. Baadae nitamuuliza tena nitakuja na updates zaidi lakini jamaa aliniambia hii kitu
 
Back
Top Bottom