Tetesi: Startimes kuonesha EPL baada ya siku 11 zijazo

Na juzi juzi tu huyo DStv karenew mkataba mpaka msimu wa 2022 kwa zaidi ya pauni m300 !! Sijui kwa hela za madafu ni shingapi hiyo
Duu almost utajiri wote wa Mo.

Ukiingalia investment ya media zetu za ndani hata Tsh billion 100 hazijafika
Leseni wataiwezea wapi?

Investment ya azam media ambayo
Kwa Tanzania walau ndio inaonekana bora investment yao ni ya billion 40.

Sasa media kama hizi ndio waje wa invest 300million pound.

Hata wakikata leseni hiyo mwaka mmoja kampuni itakuwa imefirisika.

Kikubwa waendelee Ku tafuta coverage ya ving'amuzi vyao barani Africa labda ipo siku watafikia.
 
Kweli mkuu EPL Ni gharama mno kupata leseni . Sky Sports pekeyao wamelipa 3.75 billion pounds !! Na BT Sports wamelipa paundi 975 milioni .

Hapo cha kufanya labda hao Startimes waongee na dstv waone kama wataweza kure-sell japo walishakataaga
 
Wakuu
Kuna tetesi nimezipata kwamba startimes wataanza kuonyesha EPL siku 11 zijazo
Baada ya kupata hiyo tetesi nimeamua kutembelea page yao ndani ya facebook na nikakuta wameandika kwamba bado siku 11 tutawaletea kitu kizuri zaidi ambacho kila mmoja atakifurahia muendelee kuwa nasi na ku like ili kujua nini kinaendelea.
Kila siku wamekua wakipost kuwa bado siku ngapi leo ni 11 kesho zinabaki 10 hivyohivyo mpaka moja
Minong'ono ya kuonyesha EPL imeendelea kusambaa wanapoulizwa hawataji ninini kinakuja wanaacha kama "suprise" kwa wateja
Natamani iwe hivyo kweli ili ukiritimba wa DSTV uishe
Wadau wa michezo wametamani sana EPL ionyeshwe kwa gharama ya ndogo ya kifurushi
Haya sasa ngoja nisubiri hizo siku
Mkuu ndo maana na dstv wanapunguza bei za vifurushi vyao kuanzia tarehe 1 mwezi wa tisa so ndo maana kuna mvutano hapo
 
Wakuu
Kuna tetesi nimezipata kwamba startimes wataanza kuonyesha EPL siku 11 zijazo
Baada ya kupata hiyo tetesi nimeamua kutembelea page yao ndani ya facebook na nikakuta wameandika kwamba bado siku 11 tutawaletea kitu kizuri zaidi ambacho kila mmoja atakifurahia muendelee kuwa nasi na ku like ili kujua nini kinaendelea.
Kila siku wamekua wakipost kuwa bado siku ngapi leo ni 11 kesho zinabaki 10 hivyohivyo mpaka moja
Minong'ono ya kuonyesha EPL imeendelea kusambaa wanapoulizwa hawataji ninini kinakuja wanaacha kama "suprise" kwa wateja
Natamani iwe hivyo kweli ili ukiritimba wa DSTV uishe
Wadau wa michezo wametamani sana EPL ionyeshwe kwa gharama ya ndogo ya kifurushi
Haya sasa ngoja nisubiri hizo siku
poor vision huwezi linganisha na dstv
 
Back
Top Bottom