Startimes mmenigombanisha na mke wangu

Kwa kifupi unatawaliwa na mwanamke, kitaalamu tunasema MWANAMKE AMEKUPANDA KICHWANI.
Ila kumbuka hizi tamthilia ni ratiba zao kuangalia kila siku na zipo kwa series, mimi ndo nilimuingilia
 
Don't talk out loud,you lower the IQ of the whole street. [emoji2960]
 
Startimes hawana hio ratiba mkuu labda ungetaja channel husika.

Anyway hata ukimnyima hainaga makombo wakiichapa boda

Vidume vya humu ukivikuta kule MMU vibabe kweri kweriiii(kweli kweli)ila kumbe nje ya keyboards vinateseka sana kwa wake zao daah
Niliona siyo ishu kugombania rimoti
 
"Sitompa unyumba wiki nzima"

Mwanaume huwezi kususa !
Ngoja wanaume halisi watakusaidia
Namfahamu vzr mke wangu, hawezi kuchepuka kamwe, ana kinyaa sana na wanaume wa nje.
 
Nilijuaga unyumba ni mbususu tu.

Kwani kwako hawajui saa 2 ni muda wa kuangalia taarifa ya habari?
 
Kwani ni habari gn mpya mpaka saa moja usiku usiwe imeishaiskia ? Mpaka uangalie taarifa ya habari [emoji2297]
 
Kwani ni habari gn mpya mpaka saa moja usiku usiwe imeishaiskia ? Mpaka uangalie taarifa ya habari [emoji2297]
Kwenye TV unapata habari nyingi kwa kina tofauti na kwenye simu
 
Nilijuaga unyumba ni mbususu tu.

Kwani kwako hawajui saa 2 ni muda wa kuangalia taarifa ya habari?
Hawana tabia ya kuangalia taarifa ya habari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…