Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ikifika jioni akiwa kazini zile simu za unarudi saa ngapi zinakuwa nyingi sana.Hahahaa, leo ndo nimegundua kwamba wanaume wanaowahi kurudi nyumbani wanapitia mengi
Don't talk out loud,you lower the IQ of the whole street. [emoji2960]Ni kawaida yangu kurudi nyumbani kuanzia saa 3:30 usiku, ila leo nimelazimika kuwahi kurudi nyumbani (saa 1:00 jioni) kutokana na sababu zangu binafasi.
Kwakweli ni siku nyingi sijaangalia taarifa ya habari, hivyo ilipofika saa 2 usiku kwakuwa nimewahi kurudi nyumbani na sijagusa ulabu nilichukua rimoti ya TV nikaweka ITV ili niangalie taarifa ya habari, ghafla mke wangu alinirukia kama nyani na kuninyang'anya rimoti huku anahema.
Wakati namshangaa akanambia kwa ukali:
"usiniharibie starehe zangu, huu ni muda wa tamthilia, kama unapenda sana taarifa ya habari nunua TV ya chumbani".
Kwa upole ilinibidi nielekee chumbani kujilaza, na sitompa unyumba wiki nzima kwa kunikwaza.
USHAURI: Enyi Startimes heshimuni muda wa taarifa za habari, hizi tamthilia za wanawake wekeni mchana na jioni tu ili kuepusha migogoro ya familia.
Niliona siyo ishu kugombania rimotiStartimes hawana hio ratiba mkuu labda ungetaja channel husika.
Anyway hata ukimnyima hainaga makombo wakiichapa boda
Vidume vya humu ukivikuta kule MMU vibabe kweri kweriiii(kweli kweli)ila kumbe nje ya keyboards vinateseka sana kwa wake zao daah
Solution ni kununua Tv ya chumbaniKosa lao kuweka vipindi vya kike muda taarifa ya habari
Hii bidhaa huwa haisusiwi... 😀😀😀na sitompa unyumba wiki nzima kwa kunikwaza.