Startimes mmenigombanisha na mke wangu

Shida sio startimes, shida ni kwamba huna sauti nyumbani kwako.
Wao wamekuwemea channel mbalimbali uchague mwenyewe
Hii kitu mimi huwa siwaelewagi wanawake, wako radhi hata mzipange kavu kavu lakini sio utoe tamthilia..., wala sio suala la kuwa na sauti nyumbani, ni hali ya ajabu tu ipo..
 
Hii kitu mimi huwa siwaelewagi wanawake, wako radhi hata mzipange kavu kavu lakini sio utoe tamthilia..., wala sio suala la kuwa na sauti nyumbani, ni hali ya ajabu tu ipo..
Wanawake wengi hawapendi habari, wanapenda umbea na kudanganywa (maigizo).
 
Mkuu hiyo nyumba haina sauti ya mwanaume.Startimes umewasingizia tu
 
Je, wewe waona ni busara mwanaume kugombania rimoti na mwanamke?
Mwanamke hawezi hata kuhoji chochote nilipokaa na nikiwa nafanya chochote,mleta Uzi atakuwa ameanza kupoteza quality ya uanaume,na sauti yake haina mamlaka tena
 
Startimes hawana hio ratiba mkuu labda ungetaja channel husika.

Anyway hata ukimnyima hainaga makombo wakiichapa boda

Vidume vya humu ukivikuta kule MMU vibabe kweri kweriiii(kweli kweli)ila kumbe nje ya keyboards vinateseka sana kwa wake zao daah
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Huyo anajiwakilisha mwenyewe. Sisi wengine hatuhusiki
 
Kwahy mkuu umeamua kumziria mwanamke au startime na swala la unyumba na kuzuiwa kuangalia taarifa ya habari kuna uhusiano
 

Kaka sikushangai kushikwa, weka app kwenye simu angalia taarifa ya habari.
 
Baada ya kipindi cha awamu ya magufuri taarifa ya habari nzima kuwa ya kujisifia tu Magufuri niliacha kuangalia taarifa ya habari mpaka leo habari yangu imekuwa azam two
 
Taarifa za habari siku hiz tunazipata kwenye simu
Yani nijiunge bundle la kuangalia taarifa ya habari kwa zaidi ya dakika 20 kila siku?

Ni afadhali kujiunga kifurushi cha king'amuzi utafaidi vipindi vingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…