Startimes mmenigombanisha na mke wangu

Startimes mmenigombanisha na mke wangu

Nunua tv kama unauwezo nao ya chumbani na usizire hata mie sipendagi kusumbuliwa wakati wakuangalia habari .

Mpende mkeo sio kakupanda kichwani kakuzoea tu kupita kiasi mwambie asikuzoee sana wewe ni mume wake ukiwa unafanya kitu sikuingilie basi Kwa upole
 
Mwanaume unasusa tena

Shauri zako atakutana na bodaboda

Ova
 
Ni kawaida yangu kurudi nyumbani kuanzia saa 3:30 usiku, ila leo nimelazimika kuwahi kurudi nyumbani (saa 1:00 jioni) kutokana na sababu zangu binafasi.

Kwakweli ni siku nyingi sijaangalia taarifa ya habari, hivyo ilipofika saa 2 usiku kwakuwa nimewahi kurudi nyumbani na sijagusa ulabu nilichukua rimoti ya TV nikaweka ITV ili niangalie taarifa ya habari, ghafla mke wangu alinirukia kama nyani na kuninyang'anya rimoti huku anahema.

Wakati namshangaa akanambia kwa ukali:

"usiniharibie starehe zangu, huu ni muda wa tamthilia, kama unapenda sana taarifa ya habari nunua TV ya chumbani".

Kwa upole ilinibidi nielekee chumbani kujilaza, na sitompa unyumba wiki nzima kwa kunikwaza.

USHAURI: Enyi Startimes heshimuni muda wa taarifa za habari, hizi tamthilia za wanawake wekeni mchana na jioni tu ili kuepusha migogoro ya familia.
Kataa ndoa
 
Nunua tv kama unauwezo nao ya chumbani na usizire hata mie sipendagi kusumbuliwa wakati wakuangalia habari .

Mpende mkeo sio kakupanda kichwani kakuzoea tu kupita kiasi mwambie asikuzoee sana wewe ni mume wake ukiwa unafanya kitu sikuingilie basi Kwa upole
Asante kwa ushauri mzuri.
Nimegundua dawa ni kununua TV ya chumbani
 
Ni kawaida yangu kurudi nyumbani kuanzia saa 3:30 usiku, ila leo nimelazimika kuwahi kurudi nyumbani (saa 1:00 jioni) kutokana na sababu zangu binafasi.

Kwakweli ni siku nyingi sijaangalia taarifa ya habari, hivyo ilipofika saa 2 usiku kwakuwa nimewahi kurudi nyumbani na sijagusa ulabu nilichukua rimoti ya TV nikaweka ITV ili niangalie taarifa ya habari, ghafla mke wangu alinirukia kama nyani na kuninyang'anya rimoti huku anahema.

Wakati namshangaa akanambia kwa ukali:

"usiniharibie starehe zangu, huu ni muda wa tamthilia, kama unapenda sana taarifa ya habari nunua TV ya chumbani".

Kwa upole ilinibidi nielekee chumbani kujilaza, na sitompa unyumba wiki nzima kwa kunikwaza.

USHAURI: Enyi Startimes heshimuni muda wa taarifa za habari, hizi tamthilia za wanawake wekeni mchana na jioni tu ili kuepusha migogoro ya familia.
Hivi kuna mwanaume anagoma kutoa unyumba wa kwa mume wake kama kumkomoa ? No wonder kuchapiwa imekuwa kawaida sasa
 
Kuna Tamthilia yao ya saa 3:30 Brothers, mwanzo nilikua nagombana na wife unakuta muda wa mpira wao wanakomaa na hiyo Tamthilia, ila wife kwa upole hebu jaribu kuangalia leo na kesho kama utaona ni mbaya basi endelea kuangalia mpira wako, nilijaribu kuangalia siku ya kwanza na ya pili ,nikanogewa, aisee ile Tamthilia ni nzur, sasa hivi nimekua kiongozi wa kukumbusha muda wa Ratiba ya Tamthilia
 
Ni kawaida yangu kurudi nyumbani kuanzia saa 3:30 usiku, ila leo nimelazimika kuwahi kurudi nyumbani (saa 1:00 jioni) kutokana na sababu zangu binafasi.

Kwakweli ni siku nyingi sijaangalia taarifa ya habari, hivyo ilipofika saa 2 usiku kwakuwa nimewahi kurudi nyumbani na sijagusa ulabu nilichukua rimoti ya TV nikaweka ITV ili niangalie taarifa ya habari, ghafla mke wangu alinirukia kama nyani na kuninyang'anya rimoti huku anahema.

Wakati namshangaa akanambia kwa ukali:

"usiniharibie starehe zangu, huu ni muda wa tamthilia, kama unapenda sana taarifa ya habari nunua TV ya chumbani".

Kwa upole ilinibidi nielekee chumbani kujilaza, na sitompa unyumba wiki nzima kwa kunikwaza.

USHAURI: Enyi Startimes heshimuni muda wa taarifa za habari, hizi tamthilia za wanawake wekeni mchana na jioni tu ili kuepusha migogoro ya familia.
Usipompa unyumba ataopewa na bodaboda hana cha kupoteza.
 
Uhuru huo unapewa wa kurudi night kali wewe acha uzembe
 
Shida sio startimes, shida ni kwamba huna sauti nyumbani kwako.
Wao wamekuwemea channel mbalimbali uchague mwenyewe
Sauti utaitoa wapi na serikali imekataza kuwazaba vibao wake zetu!! Sasa wanawake wanajifanyia wanavyotaka kutukana kuchamba kufoka nk nk na kisayansi mwanaume huwezi kushindana mdomo na mwanamke. Ukimzaba kofi moja tu na mikorogo yao alama/kovu kubwaaa unalazwa polisi au magereza kwa ukatili wa kijinsia.
 
Kuna Tamthilia yao ya saa 3:30 Brothers, mwanzo nilikua nagombana na wife unakuta muda wa mpira wao wanakomaa na hiyo Tamthilia, ila wife kwa upole hebu jaribu kuangalia leo na kesho kama utaona ni mbaya basi endelea kuangalia mpira wako, nilijaribu kuangalia siku ya kwanza na ya pili ,nikanogewa, aisee ile Tamthilia ni nzur, sasa hivi nimekua kiongozi wa kukumbusha muda wa Ratiba ya Tamthilia
Busara ni kuwaachia wao waangalie sababu hawawezi kwenda kuangalia Bar,ila wewe unahiyo flexibility ya kwenda bar kuangalia. Msiwe mnaingilia starehe ya familia bhana
 
Kweli kabisa
 
Sauti utaitoa wapi na serikali imekataza kuwazaba vibao wake zetu!! Sasa wanawake wanajifanyia wanavyotaka kutukana kuchamba kufoka nk nk na kisayansi mwanaume huwezi kushindana mdomo na mwanamke. Ukimzaba kofi moja tu na mikorogo yao alama/kovu kubwaaa unalazwa polisi au magereza kwa ukatili wa kijinsia.
Sauti utaitoa wapi na serikali imekataza kuwazaba vibao wake zetu!! Sasa wanawake wanajifanyia wanavyotaka kutukana kuchamba kufoka nk nk na kisayansi mwanaume huwezi kushindana mdomo na mwanamke. Ukimzaba kofi moja tu na mikorogo yao alama/kovu kubwaaa unalazwa polisi au magereza kwa ukatili wa kijinsia.
Kuna wanawake visirani sana, na ndio chanzo cha waume zao kuwa na nyumba ndogo
 
Ni kawaida yangu kurudi nyumbani kuanzia saa 3:30 usiku, ila leo nimelazimika kuwahi kurudi nyumbani (saa 1:00 jioni) kutokana na sababu zangu binafasi.

Kwakweli ni siku nyingi sijaangalia taarifa ya habari, hivyo ilipofika saa 2 usiku kwakuwa nimewahi kurudi nyumbani na sijagusa ulabu nilichukua rimoti ya TV nikaweka ITV ili niangalie taarifa ya habari, ghafla mke wangu alinirukia kama nyani na kuninyang'anya rimoti huku anahema.

Wakati namshangaa akanambia kwa ukali:

"usiniharibie starehe zangu, huu ni muda wa tamthilia, kama unapenda sana taarifa ya habari nunua TV ya chumbani".

Kwa upole ilinibidi nielekee chumbani kujilaza, na sitompa unyumba wiki nzima kwa kunikwaza.

USHAURI: Enyi Startimes heshimuni muda wa taarifa za habari, hizi tamthilia za wanawake wekeni mchana na jioni tu ili kuepusha migogoro ya familia.
"Unyumba"!
Unyumba unatolewa na mwanamke, si mwanaume!

Mtu unayepewa hauwezi kuwa "mnyimi".

Labda ungesema wakati wa kupewa utakuwa ukisusa na kugeukia ukutani kwa siku zote hizo ulizojipangia kuzila.
 
Startimes hawana hio ratiba mkuu labda ungetaja channel husika.

Anyway hata ukimnyima hainaga makombo wakiichapa boda

Vidume vya humu ukivikuta kule MMU vibabe kweri kweriiii(kweli kweli)ila kumbe nje ya keyboards vinateseka sana kwa wake zao daah
Mnatoa wapi maneno ya namna hii! [emoji38][emoji38][emoji38].
 
Back
Top Bottom