Hata mm nimektana ns hilo tatizo. Nimeshindwa kucheki habari.Tatizo king'amuzi changu kinaniletea smart card error.Mimi niko UYOLE MBEYA. NO. ya smart card ni 02035152404
Namba ya simu ni 0784860141 au 0765497494.
NI kweli zile simu zilizokamatwa zilikwepa kodi?Habari zenu wanaJamiiForums
Je una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?
Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie? Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi
1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi?
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!
STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.
Ahsanteni sana na karibuni nyote
Tatizo king'amuzi changu kinaniletea smart card error.Mimi niko UYOLE MBEYA. NO. ya smart card ni 02035152404
Namba ya simu ni 0784860141 au 0765497494.
Hilo Ni Tatizo Kubwa Mno Tofauti Na Mnavyofikiri!! Hilo La Kutoa Smart Card Na Kuirudisha Ndio Solutions Zenu, Lkn Hakika Ni KUBAHATISHA Tu!!Chomoa card bila kuzika king'amuzi hakikisha card imetight vizuri
Habari zenu wanaJamiiForums