Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Tatizo king'amuzi changu kinaniletea smart card error.Mimi niko UYOLE MBEYA. NO. ya smart card ni 02035152404
Namba ya simu ni 0784860141 au 0765497494.
Hata mm nimektana ns hilo tatizo. Nimeshindwa kucheki habari.
Na wako kimya hata kuombs radhi.[emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51]
 
N
Habari zenu wanaJamiiForums

Je una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?

Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie? Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi

1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi?
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!

STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.

Ahsanteni sana na karibuni nyote
NI kweli zile simu zilizokamatwa zilikwepa kodi?
 
Star times msipokuwa makini kwa uzembe wenu mtapoteza wateja wengi sana. Kingamuzi chenu utakuta kina toa sauti picha imeganda. Tumekwisha toa malalamiko unajibiwa tunashughulikia tatizo. Wiki nzima? Tunalipa pesa ili tupate burudani lkn inakuwa tofauti.
 
Tatizo king'amuzi changu kinaniletea smart card error.Mimi niko UYOLE MBEYA. NO. ya smart card ni 02035152404
Namba ya simu ni 0784860141 au 0765497494.

Chomoa card bila kuzika king'amuzi hakikisha card imetight vizuri
 
naomba kujua ni lin star times mtafunga mtambo wenu wa kuwawezesha wateja wanaotumia kisimbuzi cha antena cha 45,000 ndani ya manispaa ya sumbawanga
 
Chomoa card bila kuzika king'amuzi hakikisha card imetight vizuri
Hilo Ni Tatizo Kubwa Mno Tofauti Na Mnavyofikiri!! Hilo La Kutoa Smart Card Na Kuirudisha Ndio Solutions Zenu, Lkn Hakika Ni KUBAHATISHA Tu!!
 
Habari zenu wanaJamiiForums

Je una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?

Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie? Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi

1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi?
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!

STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.

Ahsanteni sana na karibuni nyote
 
naomba kujua bei elekezi ya vifurushi cha mwisho labda kwa king'amuzi cha dishi
 
Azam free channel sasa hivi ni moja tu yaani ni TBC tu, je nyie mna free channel ngapi?
 
[/QUOTE]
Habari mkuu.Naona kuna matangazo ya king'amuzi Manuka kwa 46,000.00.kama of a ya pasaka.jee mnauza n.a. dish lake kwa be I hioooo?.Au ni king'amuzi pekee
 
Mnao simamia star times jf mnaboa sana amjibu maswali
 
Nina kingamuzi changu cha startimes cha antena kina kata kata sana je nikifunga dish kitatulia
 
Mm kingamuzi changu kimekataa kuonyesha kwa sababu ya antena nimeangaika nayo sana
 
Ngoja waje watujibu mm nashika tbc 1 na chanel 10. zaidi ya hapo naona maluwe luwe. Je nikiunga na lnb ya dish yoyote nitaona
 
Back
Top Bottom