Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

wasafi tv chanel itaanza kuonekana lini kwenye king'amuzi cha startimes.
 
mie nimelipia wiki iliyopita lakini naambiwa smart card error zilionesha siku moja tu na ni baadhi ya chanel tatizo nini nini hasa!! nipo songea Ruvuma
 
mie nimelipia wiki iliyopita lakini naambiwa smart card error zilionesha siku moja tu na ni baadhi ya chanel tatizo nini nini hasa!! nipo songea Ruvuma

habari yako, kadi reader au kadi yako inashida, tafadhari chomoa kadi yako, pale kwenye 'chip' pukuta kwa kitambaa laini na kikavu, kisha rudishia ndani, endapo tatizo litaendelea tafadhari fika ofsn zetu zilizokaribu nawe na king'amuzi chako
 

tafadhari tunaomba ututumie namba yako ya simu, namba ya simu iliyosajiliwa tunajaribu kukupigia haupatikani, king'amuzi chako kinaonyesha hakina shida yoyote. tutumie namba yako tutakupatia fundi wetu bure!
 
Nyie startimes huduma zenu hadhirizishI kabisa yaani mtu kin'gamuzi anapata chaneli nyingi za ndani kushinda mwenye dishi?
Tve e kwenye dish hakuna
Tv1 kwenye dishi hakuna na sasa hata wasafi kwenye dishi hakuna kwani sisi wenye vin'gamuzi vya dish tumewakosea nn na ukizingatia malipo ya dishi ni makubwa zaidi ya antena....***** ngoja kombe la dunia liishe
 
Nimenunua package ni siku ya 4 sasa imepita lakini hakuna chaneli zinazoonyesha zaidi ya TBC pekee .

Sms yangu ya uthibitisho ni hii.

"Malipo ya Ankara TSh 12,000. Yamefanyika kikamilifu StarTimes , No. ya ankara: 700100, No ya utambulisho: 02035263877.Salio jipya TSh 1,474, Ada TSh 0. VAT TSh 0.Muamala: 80853123712.03/06/18 14:42. Hongera! Umelipia TZS 12000.00 kupitia 02035263877 kwa Sibuka+Mambo.Umepata weekly malipo ya TZS 5500.00."


Tatizo ni nini haswaaa.?
 
 
 
ndugu me king`amuzi changu cha dish lakin na shangaa tangu lime anza kombe la duni tv ye2 upande wa king`amuzi inakuwa na chenga tatizo nn??
 

nimedownload your app, nimelipa 3500/- tsh, nilifanikiwa kuangalia siku 2 za mwanzo baada ya hapo hakuna kinachofunguka,
 
me ninge omba kufahamu kati ya king’amuzi cha dish na antena kipi kina thaman mana nashangaa chanel nzuri zime jaa kwenye king’amuzi cha antenal
 
Kwanini mliitoa tv imaan kwenye kisimbusi chenu??
 
Mbona locol channel nazo mnazifunga wakati TCRA waliagiza ziwe free...?
 
Mimi ni fundi wa kufunga ving'amuzi vyote nipo rukwa ZIWA TANGANYIKA; maoni yangu; naomba ninapo hitaji kufanya restore factory, eneo liwe wazi isiwe lazima kuomba msaada toka kwenu, maana mnakuwa bize sana kiasi cha kuchelesha mambo kwa wateja.
 
Naomba kutumiwa namba iliyolipia hiki king'amuzi chenye namba hii 02035679173 kwa mara ya mwisho? mimi naitwa george allen msumai nilisajili na namba 0716309408,msaada tafadhali
 
Tatizo cha king'amuzi changu ,mfano n taarifa ya habari yale maandish chini skrin yanatokea miguu ju kichwa chini
nipo dar
namba ya kifaa n
02035243682
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…