Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Shukrani sana mkuuWakristo tunafunga siku 40! Sasa basi cku ya jpili huwa Hakuna kufunga kwani ni cku ya bwana! Sasa kwa wiki tunafunga cku 6 (ukitoa kila jumapili ambayo hatufunahi) ukichukua majuma 6 tunayofunga unapata siku 36! Sasa ili zikamilike cku 40 ndio unaanza j5 ya majivu mpaka jmos kuna cku 4! Sasa unajumlisha cku 36 na siku 4 ndio unapata cku 40! Lkn kama ingekuwa tunafunga mpaka jpili bc UTARATIBU UNGEBADILIKA! Hivyo ndivyo nijuavyo mimi ! Kama kuna mjuzi mwingine ajuae TOFAUTI na hivyo basi naomba ATUELIMISHE ZAIDI!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema wakristo wakatoliki. Sio wakristo wote maana kuna wasabato nadhani haya mambo wala hawayajui, kuna walokole, kuna mashahidi wa yehova, mormons nk. Usipende kauli jumlishi, ni dalili za ujinga.Wakristo tunafunga siku 40! Sasa basi cku ya jpili huwa Hakuna kufunga kwani ni cku ya bwana! Sasa kwa wiki tunafunga cku 6 (ukitoa kila jumapili ambayo hatufunahi) ukichukua majuma 6 tunayofunga unapata siku 36! Sasa ili zikamilike cku 40 ndio unaanza j5 ya majivu mpaka jmos kuna cku 4! Sasa unajumlisha cku 36 na siku 4 ndio unapata cku 40! Lkn kama ingekuwa tunafunga mpaka jpili bc UTARATIBU UNGEBADILIKA! Hivyo ndivyo nijuavyo mimi ! Kama kuna mjuzi mwingine ajuae TOFAUTI na hivyo basi naomba ATUELIMISHE ZAIDI!
Sent using Jamii Forums mobile app
Rejea hoja ya mleta hoja! Aliongea kuhusu wakristo na alipocmamia ni kuhusu j5 ya majivu! Sasa Mimi kwa UJINGA wangu NAFAHAMU hivyo! Lkn hapa tunahitaji KUELIMISHANA! Sasa ni WAJIBU wako wewe KUELEZA unavyojua! Mfano umesema WAKATOLOKI ndio wanafanya hivyo lkn wengine wana taratibu zao! Lkn nijuavyo Mimi KWARESMA c wakatoliki peke yao! Japo c WAKRISTO wote! Hapa tunaongea wale wenye TARATIBU ya j5 ya majivu!Sema wakristo wakatoliki. Sio wakristo wote maana kuna wasabato nadhani haya mambo wala hawayajui, kuna walokole, kuna mashahidi wa yehova, mormons nk. Usipende kauli jumlishi, ni dalili za ujinga.
Sema wakristo wakatoliki. Sio wakristo wote maana kuna wasabato nadhani haya mambo wala hawayajui, kuna walokole, kuna mashahidi wa yehova, mormons nk. Usipende kauli jumlishi, ni dalili za ujinga.
Lakini amri ya pili ya kanisa inasema " funga siku ya jumatano ya majivu na usile nyama siku ya ijumaa kuu" na sio kufunga kwaresma yoteWakristo tunafunga siku 40! Sasa basi cku ya jpili huwa Hakuna kufunga kwani ni cku ya bwana! Sasa kwa wiki tunafunga cku 6 (ukitoa kila jumapili ambayo hatufunahi) ukichukua majuma 6 tunayofunga unapata siku 36! Sasa ili zikamilike cku 40 ndio unaanza j5 ya majivu mpaka jmos kuna cku 4! Sasa unajumlisha cku 36 na siku 4 ndio unapata cku 40! Lkn kama ingekuwa tunafunga mpaka jpili bc UTARATIBU UNGEBADILIKA! Hivyo ndivyo nijuavyo mimi ! Kama kuna mjuzi mwingine ajuae TOFAUTI na hivyo basi naomba ATUELIMISHE ZAIDI!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wasabato ni wakristo ?Rejea hoja ya mleta hoja! Aliongea kuhusu wakristo na alipocmamia ni kuhusu j5 ya majivu! Sasa Mimi kwa UJINGA wangu NAFAHAMU hivyo! Lkn hapa tunahitaji KUELIMISHANA! Sasa ni WAJIBU wako wewe KUELEZA unavyojua! Mfano umesema WAKATOLOKI ndio wanafanya hivyo lkn wengine wana taratibu zao! Lkn nijuavyo Mimi KWARESMA c wakatoliki peke yao! Japo c WAKRISTO wote! Hapa tunaongea wale wenye TARATIBU ya j5 ya majivu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Amri maana yake ni lazima siku hizo kufanya hivyo haimaanishi siku zilizobaki za kwaresma usifunge,kwa maana ya kwamba kama unaona huwezi kabisa kufunga kwaresma nzima basi jumatano ya majivu ujitahidi maana ni lazima.Lakini amri ya pili ya kanisa inasema " funga siku ya jumatano ya majivu na usile nyama siku ya ijumaa kuu" na sio kufunga kwaresma yote
Sent using Jamii Forums mobile app
Thank you SirAsh Wednesday=" its The seventh Wednesday before Easter and the first day of Lent, on which many Christians receive a mark of ashes on the forehead as a token of penitence and mortality".
wangekufafanulia pia nini maana halisi ya kufunga? kwamba unafunga masaa mangapi kwa siku? unaruhusiwa kunywa maji maziwa ama juice ikifika mchana? Je ni kweli kwamba unafunga vitu ambavyo mwili unavipenda zaidi ?Shukrani sana mkuu
wasabato bado wanamsubiri messiah wao kama vitabu vya kale vinavyosema...ndiyo maana wao wanasali jmosi na si jpili kama wakristo.
Mkuu si vibaya hata wewe ukitupatia faida hiiwangekufafanulia pia nini maana halisi ya kufunga? kwamba unafunga masaa mangapi kwa siku? unaruhusiwa kunywa maji maziwa ama juice ikifika mchana? Je ni kweli kwamba unafunga vitu ambavyo mwili unavipenda zaidi ?
Utaongea utatoka mishipa yote kanisa Ni moja Takatifu katoliki la mitume likisema Leo Ni Kwaresma, au pasaka wote itakuea hivyo.Sema wakristo wakatoliki. Sio wakristo wote maana kuna wasabato nadhani haya mambo wala hawayajui, kuna walokole, kuna mashahidi wa yehova, mormons nk. Usipende kauli jumlishi, ni dalili za ujinga.
Nimekuelewa mkuu ndio maana zamani mzee alikuwa anatuambia tuchague cha kufunga kama ni wali au ugali au nyama.....ni mpka kwaresma iisheAmri maana yake ni lazima siku hizo kufanya hivyo haimaanishi siku zilizobaki za kwaresma usifunge,kwa maana ya kwamba kama unaona huwezi kabisa kufunga kwaresma nzima basi jumatano ya majivu ujitahidi maana ni lazima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Warumi wana nguvu kubwa duniani...hawa hawa ndiyo walimtesa Yesu zamani za pontio pirato na hawa hawa ndiyo wanarudi kutupangia ratiba.Utaongea utatoka mishipa yote kanisa Ni moja Takatifu katoliki la mitume likisema Leo Ni Kwaresma, au pasaka wote itakuea hivyo. Na ndivyo ilivyo. Hakuna calendar tofauti wamejaribu hao kina sabbato wameshindwa wamebakia wenyewe the whole world wapo na kanisa moja ambalo Ni Takatifu katoliki la Mitume
Na hapo we sio mzungu wala mtaliano au mvatican ni mtu 1 mweusi mwenye hisia kali kuliko wenye dini yaoUtaongea utatoka mishipa yote kanisa Ni moja Takatifu katoliki la mitume likisema Leo Ni Kwaresma, au pasaka wote itakuea hivyo. Na ndivyo ilivyo. Hakuna calendar tofauti wamejaribu hao kina sabbato wameshindwa wamebakia wenyewe the whole world wapo na kanisa moja ambalo Ni Takatifu katoliki la Mitume