Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Na hapo we sio mzungu wala mtaliano au mvatican ni mtu 1 mweusi mwenye hisia kali kuliko wenye dini yao
Mkuu Wala sio hisia, Ni Kama tunavyoelekezwa huwezi shindana na Marekani kiuchumi kwa Sasa. Na tayari mfumo uko hivyo, tukubaliane bila kutukanana.

Mleta mada alitaka kujua why jumatano na sio Jumanne au alhamis Ni imejibiwa vizuri sana. I'll zitimie siku 40 (ukiondoa jumapili za Kwaresma hatufungi). Badala yake anatoa kashfa.
 
lakini mkuu unaonaje tuishi kwa mila na desturi za Kiafrika itaondoa hii kupigania imani au dini za watu nchi zingine
 
Nauliza tuu..Kupaka majivu siku ya leo ni lazima?

Kwa wale waliobanwa na majukumu hii imekaaje..

Asanteni.

You may not start conversation with the following recipient;Tairus
 
Hivi tofauti na Wakatoliki, wakristu wengine huwa wanashiriki ibada ya majivu?
 
Wakristo tunafunga siku 40! Sasa basi cku ya jpili huwa Hakuna kufunga kwani ni cku ya bwana! Sasa kwa wiki tunafunga cku 6 (ukitoa kila jumapili ambayo hatufunahi) ukichukua majuma 6 tunayofunga unapata siku 36! Sasa ili zikamilike cku 40 ndio unaanza j5 ya majivu mpaka jmos kuna cku 4! Sasa unajumlisha cku 36 na siku 4 ndio unapata cku 40! Lkn kama ingekuwa tunafunga mpaka jpili bc UTARATIBU UNGEBADILIKA! Hivyo ndivyo nijuavyo mimi ! Kama kuna mjuzi mwingine ajuae TOFAUTI na hivyo basi naomba ATUELIMISHE ZAIDI!

Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo wakristo sema Roman catholic RC na watoto wake ndo utamaduni wao wakupakana majivu siyo fundisho la Biblia hayo ni mapokeo ya Roma
 
Thank you Sir
Ash Wednesday=" its The seventh Wednesday before Easter and the first day of Lent, on which many Christians receive a mark of ashes on the forehead as a token of penitence and mortality".
fundisho hilo unalipata kutoka katika kitabu cha nani kwenye Biblia,au mapokeo ya ROMA
 
Siyo wakristo sema Roman catholic RC na watoto wake ndo utamaduni wao wakupakana majivu siyo fundisho la Biblia hayo ni mapokeo ya Roma
Katika siku za Agano la Kale na pia katika Agano Jipya, kama tulivyosikia katika Maandiko Matakatifu ya kuwa ikiwa mtu alikuwa ametenda dhambi, alivaa nguo za magunia na kujipaka majivu katika mwili wake (Rej. Yer 6:26). Tendo hili tunalofanya leo la kupakwa majivu, linatokana na desturi hiyo ya kiroho ya kufanya toba.

Katika ulimwengu wa wayahudi majivu yalikuwa ni alama ya huzuni, masumbuko, uchungu au uduni (Rej. Ayubu 2:8, 30:19; Zab 102:10). Baadaye utamaduni huu wa kupakana majivu ulitumiwa na wakristo wa kwanza kama alama ya toba.
 
fundisho hilo unalipata kutoka katika kitabu cha nani kwenye Biblia,au mapokeo ya ROMA
Katika siku za Agano la Kale na pia katika Agano Jipya, kama tulivyosikia katika Maandiko Matakatifu ya kuwa ikiwa mtu alikuwa ametenda dhambi, alivaa nguo za magunia na kujipaka majivu katika mwili wake (Rej. Yer 6:26). Tendo hili tunalofanya leo la kupakwa majivu, linatokana na desturi hiyo ya kiroho ya kufanya toba.

Katika ulimwengu wa wayahudi majivu yalikuwa ni alama ya huzuni, masumbuko, uchungu au uduni (Rej. Ayubu 2:8, 30:19; Zab 102:10). Baadaye utamaduni huu wa kupakana majivu ulitumiwa na wakristo wa kwanza kama alama ya toba.
 
Ww unaamini wakristo niwale wanaovaa misalaba shingoni, na kufata mienendo ya kipagan kama roma

Sent using Jamii Forums mobile app
Katika siku za Agano la Kale na pia katika Agano Jipya, kama tulivyosikia katika Maandiko Matakatifu ya kuwa ikiwa mtu alikuwa ametenda dhambi, alivaa nguo za magunia na kujipaka majivu katika mwili wake (Rej. Yer 6:26). Tendo hili tunalofanya leo la kupakwa majivu, linatokana na desturi hiyo ya kiroho ya kufanya toba. Katika ulimwengu wa wayahudi majivu yalikuwa ni alama ya huzuni, masumbuko, uchungu au uduni (Rej. Ayubu 2:8, 30:19; Zab 102:10).

Baadaye utamaduni huu wa kupakana majivu ulitumiwa na wakristo wa kwanza kama alama ya toba.
 
Katika siku za Agano la Kale na pia katika Agano Jipya, kama tulivyosikia katika Maandiko Matakatifu ya kuwa ikiwa mtu alikuwa ametenda dhambi, alivaa nguo za magunia na kujipaka majivu katika mwili wake (Rej. Yer 6:26). Tendo hili tunalofanya leo la kupakwa majivu, linatokana na desturi hiyo ya kiroho ya kufanya toba. Katika ulimwengu wa wayahudi majivu yalikuwa ni alama ya huzuni, masumbuko, uchungu au uduni (Rej. Ayubu 2:8, 30:19; Zab 102:10). Baadaye utamaduni huu wa kupakana majivu ulitumiwa na wakristo wa kwanza kama alama ya toba.
wakristo wa kwanza walitumia kupakana majivu katika kitabu cha nani kwenye Biblia
 
Back
Top Bottom