Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Kisimbuzi changu kinawaka lakini hakipeleki signal kwenye TV...je mnaweza kunitengenezea bure?
 
Sasa mbona mmetoa MTV BASE, E.TV ILE YA SOUTH AFRICA, SIBUKA HAIONYESHI... MZIRUDISHE AISEH
 
Hqyo maandishi yanayopita juu ya screen muda wote wa mechi yanakera . Tamthiliya tamthiliya hebu ondoeni mnakera hayo maandishi yanapita kama taarifa ya habari aaaah😡

 
Kwa nini kwenye decoder ya antenna mara nyingi chaneli za Kichina CGTN inaonesha vizuri sana lakini nyingine mfano Al Jazeera, BBC na Sky News zinasumbua sana kukatakata!? Kwani transmitter si ni moja? Nini kiko nyuma ya hali hii!? Ni makusudi au!? Maana hainiingia akilini.
 
Mimi natokea kijiji huku Arusha je duka lenu lipo sehemu gani jijini Arusha nipate kisimbusi cha dish kwa bei mnayotangaza ya 79,000/=?
 
Hello, naomba kujulishwa gharama za malipo kwa siku package ya juu,
na hatua za kufata malipo yapokelewe
 

NAOMBA KUJUA BEI YA VIFURUSHI VYENU NA NAMNA YA KUJIUNGA
 
Kuna mtu ameunganisha kebo anaonyesha chanel zenu pia amesambazia watu na mwezi huchaji elfu kumi je mmemruhusu au anawaibia tu maana yupo huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…