Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Karibu jf.

Nadhani suala la ITV/EATV limewapa funzo na nimefurahishwa na jinsi mlivyoamua kujisafisha kwa kusema kuwa hamuusiki na 'kuchafua' channels zao hivyo walau kujivua lawama za kuwahujumu. Na habari njema zaidi naona kuanzia jana scratch walau zimepungua.
 
Naona kimtindo aeisukumia zigo la lawama kwa TCRA.
 
kwenye kingamuzi chenu mmejaza chanel za kipuuzi tu za kichina,halafu huduma kwa wateja
sijui mmeweka ma barmaid maana ni hewa hayajui chochote,nisipolitupa sitakaa nikilipie,nyambafu.
 
Jamaa anakaa kibamba Chanel nyingine zinaonekana vizuri bali zile zinazoonyesha michezo, kama Eurosport, na TBC2 picha zinaganda yaani unasikia sauti lakini picha inayooneka wakati unapobadili station inaendelea kuwa hiyo tu. Cha kushanga hata TBC2 wakati hakuna mpira inakuwa sawa bali wakati wa mpira ndipo kuganda kunapoaanza. Kifurushi cha 20,000/= kwa mwezi.
 
Naomba ufafanuzi kwa mtu anae ishi maeneo ya tukuyu-mbeya je king'amzi kinaonesha vizuri maana naona huku mabonde mengi sana?
 
Naomba ufafanuzi kwa mtu anae ishi maeneo ya tukuyu-mbeya je king'amzi kinaonesha vizuri maana naona huku mabonde mengi sana?
 
Karibuni sana Star media JF, Mjiandae kupongezwa pia kukosolewa na wanaokosoa wanawapenda kiasi cha kuwaambia udhaifu(holes) kwenye huduma zenu ili kesho muwe washindani bora kwenye soko lililojaa ushindani.

Karibuni uwanja huru.

Star times wamejiunga siku nyingi humu! Wewe ni mgeni humu?
 
Star times wamejiunga siku nyingi humu! Wewe ni mgeni humu?

Nadhani sasa wameamua kuwa interactive, pia hii ni mada yao ya nne humu. Moja utambulisho na mbili taarifa ila sasa wamekuja na two way...
 
Mimi naitwa Kessy Panzi. Nipo wilaya ya Busega mkoa wa Simiyu. Chanel ya TBC 2 haionekani kwenye king'amuzi changu. Pia ninaomba muiweke channel ya Emmanuel tv. Asante.
 
Mbona TBC 2 na Star Tv ghafla hazionekani, tatizo ni nini, nipo Iringa
 
Mimi nimetapeliwa kama ifuatavyo na nyinyi StarTimes Tanzania soma hapa
Selcom Star times vender MPESA-TZ MATHIAS BYABATO Account no 02035754616 amount TZS......TransID BL52CM284 Reference 01004779647692. feb 2,2015 07:39:25 mpaka leo channel zenu 17 nilizonunua sijapata.nilipouliza kwenu kwa simu nikaelezwa kuwa nisubiri zitaingia zenyewe.mpaka sasa hakuna na nakusanya fedha ninunue kingamuzi kingine.
 
Last edited by a moderator:
Star times wamejiunga siku nyingi humu! Wewe ni mgeni humu?

Kujiunga siku nyingi si hoja.hoja ni kwamba ni lini au mara ngapi wanajitokeza kujibu hoja.akina Prof Tibaijuka,Dr Slaa,Lisu ,nape ni member humu lakini hawaonekani labda kwa ID fake au kuingia kusoma tu kama wageni,Kwa hiyo mtoa hoja yuko sahii kabisa.
 
1. Naomba mrekebishe tatizo la kuscratch channel. Kwangu limeanza juzi tu. Hapo mwanzo ilikuwa inaonyesha vizuri.

2. Naomba mboreshe king'amuzi chenu kwa kuingiza channel zingine za maana. Ikiwezekana fanyeni mpango wa EPL. Ni hayo tu!
 
Mimi nimetapeliwa kama ifuatavyo na nyinyi StarTimes Tanzania soma hapa
Selcom Star times vender MPESA-TZ MATHIAS BYABATO Account no 02035754616 amount TZS......TransID BL52CM284 Reference 01004779647692. feb 2,2015 07:39:25 mpaka leo channel zenu 17 nilizonunua sijapata.nilipouliza kwenu kwa simu nikaelezwa kuwa nisubiri zitaingia zenyewe.mpaka sasa hakuna na nakusanya fedha ninunue kingamuzi kingine.

habari yako

tutawasiliana na wewe kukupa maelekezo, ahsante
 
Habari zenu wanaJamiiForums

Je una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?

Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie? Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi

1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi?
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!

STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.

Ahsanteni sana na karibuni nyote

Aisee ving'amuzi vyenu ni vya ovyo sana, mm nilinunua nikakaa nacho siku1 nikakitupa, msipoangalia mtafunga biashara siku si nyingi kwa kukosa wateja.
 
Tafadhali napenda kuuliza ni lini nitaweza kuona clouds tv kwenye kingamuzi chenu kwa katika list ya chanel zilizochapishwa kwa ajili ya kuonesha aina ya vifurushi iko lakini nikii-access siipati. Niko Arusha.
 
Startimes mbona hamna channel inayoonesha EPL??? tatizo nn wakuu.
 
Jamaa anakaa kibamba Chanel nyingine zinaonekana vizuri bali zile zinazoonyesha michezo, kama Eurosport, na TBC2 picha zinaganda yaani unasikia sauti lakini picha inayooneka wakati unapobadili station inaendelea kuwa hiyo tu. Cha kushanga hata TBC2 wakati hakuna mpira inakuwa sawa bali wakati wa mpira ndipo kuganda kunapoaanza. Kifurushi cha 20,000/= kwa mwezi.

Tafadhali jibu bandiko namba 24 (limerudiwa hapo juu) na pia toa namba ya fundi wenu maeneo ya kibamba
 
NAT GEO WILD mtaiingiza lini kwenye king'amuzi chenu?
 
Back
Top Bottom