Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Sipati TBC,channel 10,
Why?
Why?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
habari yako Concious, simu zetu ni simu imara kabisa, kama inatatizo inatakiwa upeleke kituo chetu cha huduma kwa wateja utapata msaada bure, na kumbuka simu zetu zina guarantee na hata zikikusumbua inatakiwa urudishe utasaidiwa. nafikiri ni kampuni pekee tunayouza simu ukiwa na uhakika wapi unaweza pata msaada
Nipo Dodoma na kituo chenu cha huduma watakua wananifahamu nimehangaika sana, imefikia sehemu simu nimewaachia kwa lazima maana walikuwa hawataki kuipokea. lifuatiline hili maana nimeboreka saaana simu nimetumia mwezi imezima, nawafuata nimezungushwa zaidi ya wiki tatu hakuna kinachoeleweka.
Star times mnatuchosha,nilinunua kin'gamuzi tarehe 19/12/15,siku ya kwanza na ya pili nilipata chanel za tanzania,star tv na Tv 1 nilizipata,cha kushangaza baada ya hizo siku star tv na tv 1 hazipatikani tena
Asante kwa jibu hilo, pia naomba kuelewa ninalo dish lile kubwa la kizamani yaani maarufu kama ungo je nikichukua hicho king'amuzi cha 48,000 nitaweza cheki chanel kupitia dish langu hilo? Majibu tafadhali ili nichangamkie hicho.
Customer care wenu wana dharau sana, hawana ata passion ya kumuhudumia mteja...
Sipati TBC,channel 10,
Why?
AJABU SANA HATA KWENYE ORODHA HAZIPO!habari yako je unaishi wapi, je hazipo katika orodha ya chanel au zipo hazionyeshi. tafadhari naomba tujulishe kwa msaada zaidi
nimetuma no yangu kwenye private message. asante kwa ushirikiano . nitafurahi kama tatizo langu litapata ufumbuzi.Tafadhari tutumie namba yako ya simu, tutawasiliana nawe na tupate maelezo yako.
Habari zenu wanaJamiiForums
Je una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?
Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie? Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi
1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi?
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!
STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.
Ahsanteni sana na karibuni nyote
NAMI PIA CHANNEL 10 NA TBC NI SHIDA , UNASIKIA SAUTI PICHA INAGANDA MWANZO MWISHO, KUSCRATCH NI TATIZO KUBWA smart card Number 02035313921 ni mwaka mzima sasa Tatizo hiliSipati TBC,channel 10,
Why?