baracuda
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 1,266
- 1,350
Chaneli za ndani ya nchi zinalipiwa siku hizi?? Maana kisimbusi changu kinaonyesha chaneli mbili tu Tbc 1 na Tv 1.. chaneli zingine zinadai nilipie ili nione.. nikaongea na huduma kwa wateja nikaambiwa kuwa baadhi ya visimbusi inabidi chaneli za ndani zinalipiwa.. swali kwenu.. je serikali imebadili sheria ya mawasiliano hasa kwa chaneli za ndani au ni nyinyi wenyewe mmeamua kuchukua pesa zetu kimya kimya?
Na kama kuna mabadiliko ya sheria mbona hatujatangaziwa? Pia hizo Tbc 1 na Tv 1 zenyewe hazistahili kulipiwa?? Au hizo pekee ndio chaneli za ndani ya nchi?
Namba ya kisimbusi ni 01 81 90 21 787.. nipo mtoni kijichi..