Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Hakuna kampuni ya VISIMBUSI yenye kujali wateja wake na ya gharama nafuu yenye kukidhi hali ya MTANZANIA wa hali ya juu ya kati na ya chini kama STARTIMES.
 
Sawa nina njaa basi mama unavyopika ugali na kuuleta leta kwenye chombo safi na uviringe vizuri angalau uvutie otherwise nitakuwa nimeshiba na tabia ikiendelea natafuta mke wa pili!!
 
Nilishatupa zaman kabla sijahamia kwa wazee wa lamba lamba ambao tofauti yao na dstv ni kukosa EPL tu...startimes inakata chanel hatari ukiwapigia simu wanakwambia lete king'amuz ofisin kwetu najiuliza mi nipo dar je ambae yupo singida vijijin si anakufa na tai shingoni..!
 
Startimes mna nia gani kutokuweka channel za kenya kwenye dish
 
Mojawapo ya reason kuhama startimes ni hii ya kutoa channel za kenya na kuweka channel karibia 20 za kiganda
 
Hamien azam hayo matatizo yote hamtayasikia shida yake ni kufurush cha chin 15,000
 
Mimi nina maswali kadhaa kwenu;
1.Kwanini mnarusha matangazo kwa njia mbili?yaani Dish na Antenna?

2.Kwanini baadhi ya chanels zenu hazipatikani mikoani?
(i)Pia kwanini tulipie chanels za nyumbani?

3.Kwanini watoa huduma wenu (costomer care) hawana uhakika na kile wanachokifanya?

4.Kwanini mnipigigie simu na kunidanganya kwamba nijiunge kifurushi cha mambo na nitapata offer ya msimu wa pasaka kwa kuwekewa chanels zote?

ASANTE.
 
Mbona Tbc inasicrach sana halafu chanrl za Kenya mbona hamuweki?
 
Awa jamaa/startimes ovyo sana..ndio nimeamini..unalipilia channel alafu kuziachia pia uwaombe...!nitakitupa king'amuzi chao..najuta kulipia uchafu huu.
 
Nilitaka kuachana na continental niwe na startimes kama ni hivyo basi bora nibaki tu.
Maana continental nao ni janga ila bora kuliko haya ya startimes.
Continental ni king’amuzi cha wasukuma na wasabato. Kama una legacy ya hizo factor mbili huwez kukiacha
 
Continental ni king’amuzi cha wasukuma na wasabato. Kama una legacy ya hizo factor mbili huwez kukiacha
Mkuu nimecheka sana maana kuna jamaa yangu ni msabato na anatumia continental decoder
Hua najiuliza huyu jamaa anapata kitu gani special kumbe ni zile kwaya zao [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu nimecheka sana maana kuna jamaa yangu ni msabato na anatumia continental decoder
Hua najiuliza huyu jamaa anapata kitu gani special kumbe ni zile kwaya zao [emoji23] [emoji23]
Ahahaha
Amna kingine ni hicho tuuuu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji10]
 
Startimes nimegundua nimatapeli..walitushawish tulipie kifurushi na kupata offer ya mwezi mzima badala yake ukinunia kifurushi hicho..wanakata na kurudisha kifurushi cha mwanzo huu ni utapeli na kukatisha tamaa wateja

Mfano mimi nina dish..nilinunua kifurushi cha smart kwa agreement ya kupata supper channell..badala ya hata pasaka haijaisha washakata...huu ni utapeli kama utapeli mwingine

Na kunaatangazo mengi Magic fm...wakati huu ni utapeli wa wazi..badirikeni

Pia..kwa sasa ni msimu wa uchaguzi kenya..ila dish hata channel moja ya kenya haimo...hivi startimes mna nino hasa cha kumvutia mtazamaji hadi aweke hela ya kifurushi kama hamna hata ubunifu wa kuweka channel.za kenya

Its a big shame kwa industry kubwa kama yenu..hapa nilipo najuta why nilinunua dish...
 
Pole sana asee,usirudie matapishi.
 
Back
Top Bottom