Punguza hasira bibie!
Umeandika kuwa, Yeye Mwenyewe (Mungu) hamjaribu mtu; kisha nikatoa mifano ya Ayubu na Ibrahim/Abraham kuwa walijaribiwa. Kataa kama hujaandika hivyo.
Je walijaribiwa au hawakujaribiwa?
Kabla ya hapo, niliandika kuwa Yesu(binadamu?) alijaribiwa na shetani lkn ushawishi wake uligonga mwamba ndipo Yesu alipomwambia shetani kuwa "... tena usimjaribu Mungu Bwana Mungu wako". C.f Mathayo 4:7
Nimekusukumia moto kuwa, ni nani hapa aliyekuwa akijaribiwa?
Kwanini Yesu hakusema shetani achana na Mimi, husinijaribu?
Sent using
Jamii Forums mobile app