Startimes waoneshaji rasmi wa Kombe la Dunia 2018 Urusi

Decorder Combo naomba kufahamu gharama zake tafadhali
 
we ni muongo...startimes hata inyeshe mvua ngoma inashika tu...alafu kama kitu hujui uliza...ving'amuzi vya startimes vipo vya HD vina slot za HDMI na USB
 
Ni kweli sijaona mvua zikiathiri upokeaji wa Signals, hili nakubaliana na wewe kiongozi
 
Hizo chanel zinapatikana kwenye kifurushi gani na shilingi ngapi?

habari yako Coolant chanel hizo utazipata utapolipia kuanzia kifurushi cha mambo kwa DTT na smart kwa DTH, pia wale wataolipia kifurushi cha nyota nao watapata kupitia SPORT FOCUS
 
Nyie matapeli.
Mbona mmepuuza agizo la serikali la kuonyesha bila malipo local channels kama itv, startv, tv1?
 
Na kama Nina cha zamani nataka kubadilisha nalipia gharama ngapi kubadilisha
Jibu please
 
Ila muweke option ya english kwenye matangazo ya world cup, kwa kiswahili watangazaji wanaweka uswahili mwingi na ushabiki wao hawawi neutral katika kazi zao, pia kiswahili hakina hamasa na mzuka sana kwenye soka la tv, pia wachambuzi wa kiswahili wanakuwa na irrelevant stories kwenye uchambuzi
 

Pale tbc kuna mwl kashasha mkuu,
hutojuta kumsikiliza.
 

tunashukuru kwa maoni yako, tutafikisha idara husika
 
naomba kuelezewa zaidi juu ya hiyo smart decoder je naweza kuiunganisha na internet?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…