State Capture and Treason in Tanzania & Tanganyika -The Port Saga

10 August 2023
Mbeya, Tanzania

Dkt. Tulia - "Waliokwenda Mahakamani, Walikwenda Kupuyanga"


Spika wa bunge Dr. Tulia Ackson watu leo wameangushiwa kitu kizito mahakamani wameanguka chali .

Spika Tulia Ackson awasomea sehemu ya hukumu kupitia kifaa mpakato cha tabuleti huku akifafanua ktk lugha ya kiswahili kwa upeo na mtizamo wake maneno katika hukumu iliyoandikwa kwa lugha ya English ..... Suffice to state,
here and now, that the petitioners' interpretation of the provision is outrightly off the mark, if not far-fetched.


Spika Dr. Tulia Ackson anakwenda kunukuu zaidi hukumu ya Mahakama Kuu ... In the whole, we find that the invocation of Article 28 (1) and (3) of the URT Constitution as a testimony of erosion of sovereignty is utterly erroneous, as issues of sovereignty under the provision are limited to defence and security. We resist the temptation of stretching the import of the said provision to cover matters of trade and investment as Mr. Ngalimitumba sought to impress....

Spika Tulia ashutumu njia ya maandamano kupiga mkataba kwani wataishia kuvunjwa miguu ... Mahakama Kuu hii ni ya kikatiba au kwa maneno mengine yaliyonyooka ni Mahakama ya Katiba hivyo tafsiri ya leo katika hukumu kuhusu ni mkataba au makubaliano tumeipata asisitiza Spika Tulia kuwa ni makubaliano kama ilivyosomeka ktk hukumu ya mahakama kuu leo ...
 
huyu Samia ni hatariiiiiiiiii katiba Ibara ya 34 inasemaaaa......
 
10 Agosti 2023
Buhongwa, Ilemela
Tanzania

Tundu Lissu azungumzia hukumu ya mahakama kuu ya kanda ya Mbeya, awachambua majaji na mahakama kukosa uhuru

 
Mimi nafikiri badala ya maandamano tungeangalia namna ya kuchangishana fedha tuwalipe Wagner waje kutusaidia kuing'oa hii serikali ya kipumbavu ya CCM kutoka madarakani.
 
Kongole Mwambukusi na the Team WAZALENDO Kwa ushindi.

Court imethibitisha kuwa mkataba wa DP World ni FAKE na BATILI Kwa HOJA mlizoweka mezani.

Tukutane mahakama ya rufaa.
 
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™ Mungu akubariki sana hakika Mahakama ya Tanzania ni mavi matupu, nafahamu vyombo vya Usalama wako makini na jambo hili na wanajua halifai tuwepo muda hadi mwisho tuone jitihada za libibi zitaishia wapi wanamchora tu.
 
Live : Mbowe akiwa Nasio Ukerewe Operation+255#KATIBA MPYA # BANDARI ZETU

KURUDISHA MADARAKA KWA WANANCHI KUPITIA KATIBA MPYA


Nchi imekuwa mateka wa viongozi wachache wa chama dola kongwe.

Maelfu wajitokeza kusikia habari ya umuhimu wa wananchi kuelewa katiba mpya inagusa maisha yote ikiwemo mfumo wa haki jinai, mahakama, serikali ya vijiji n.k na itawarudishia Wananchi mamlaka ya kuwadhibiti viongozi wa chama tawala kiwe cha CHADEMA au CCM, wasisitiza viongozi wa CHADEMA
 
Mwisho umeandika
Tunataka Tanhanyika yetu....daah nimecheka sana. Yaani umesoma hukumu lakini hamna nukuu ata moja umeweka hapa. Kwanini tusiseme wewe muongo?
Mkuu,LABDA MM NI MUONGO ILA NDO UWEZO WANGU UMEFIKIA HAPO.KAMA UNATAKA VIFUNGU VYA SHERIA AU HUKUMU UTAVIPATA MUDA MWINGINE
 
Kitendo cha vyombo vya dola kuanza kukamata wanaoonesha njia kuhusu uporaji wa rasilimali za wanannchi wanachochea zaidi imani hasi dhidi ya serikali na kutumia mabavu ya polisi hautasaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…