State University of Zanzibar (suza)

State University of Zanzibar (suza)

Kumbe sikuelewa,mtu ana gpa ya 3.6 sijui atapata yarabi.
Natumaini tu chuo ni kizuri maana duh watu wananitisha sana
Kwa gpa ya 3.6 anaweza kupata ikiwa hakutakuwa na ushindani ila ni ngumu sana labda Kwa private university ambazo watu huzikimbia kutokana na Ada kubwa.
 
Back
Top Bottom