Statement kama hizi zinawaaminisha wanawake Kila mwanaume anapenda mizigo..

Statement kama hizi zinawaaminisha wanawake Kila mwanaume anapenda mizigo..

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
Screenshot_20250202-163953.png

Mnawapa stress dada zetu kwa statement za aina hii mnafanya waanze kufakamia chakula kutafuta unene wengine wanafika mbali mpaka kutumia dawa za kuongeza mwili wakati kina Babamorgan ni wadau wakubwa wa Skinny girls.
 
Huyu Manara ni mtu mjinga tu. Usichukulie serious maneno yake.Hana cha maana anachoweza kusema isipokuwa mipasho.
 
Back
Top Bottom