BabaMorgan JF-Expert Member Joined Dec 18, 2017 Posts 4,869 Reaction score 13,137 Feb 2, 2025 #1 Mnawapa stress dada zetu kwa statement za aina hii mnafanya waanze kufakamia chakula kutafuta unene wengine wanafika mbali mpaka kutumia dawa za kuongeza mwili wakati kina Babamorgan ni wadau wakubwa wa Skinny girls.
Mnawapa stress dada zetu kwa statement za aina hii mnafanya waanze kufakamia chakula kutafuta unene wengine wanafika mbali mpaka kutumia dawa za kuongeza mwili wakati kina Babamorgan ni wadau wakubwa wa Skinny girls.
uhurumoja JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 9,616 Reaction score 22,521 Feb 2, 2025 #2 Sema tumetofautiana sana mi napenda kama huyo Portable
T Tui JF-Expert Member Joined Jun 2, 2018 Posts 4,698 Reaction score 6,670 Feb 2, 2025 #3 Huyu Manara ni mtu mjinga tu. Usichukulie serious maneno yake.Hana cha maana anachoweza kusema isipokuwa mipasho.
Huyu Manara ni mtu mjinga tu. Usichukulie serious maneno yake.Hana cha maana anachoweza kusema isipokuwa mipasho.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Feb 2, 2025 #4 Mambo yao waachie wenyewe... Cc: Mahondaw