Kwa kuwa kitendo chao Cha kutumia credible information kutoa maamuzi badala ya kutumia credible evidence ni ukiukwaji wa wazi wa sheria za Marekani na za kimataifa.Nasisi tumpige ban Pompeo na Trump kwa sababu hizo hizo wasituchezee hawa sisi ni Taifa huru.
Credible evidence hamna hiyo statement hewa tu hamna kituWapeleke mahakamani basi lakini ndiyo hivyo mtu wenu ameshapigwa ban
Sent using Jamii Forums mobile app
Aende sasa kama ni statement hewa.Credible evidence hamna hiyo statement hewa tu hamna kitu
Kwa hiyo unataka kusemaje, kwamba Makonda na mkewe bado wana jeuri ya kwenda Marekani au siyo?Kwenye Sheria Kuna vitu viwili Kuna Credible evidence na credible information
Marekanii Walichonacho sio credible evidence Wana credible information
Statement yao kifupi eneo lenye utata hii Hapa na I quote
"Department has credible information that Makonda was involved in such violations in his capacity as the Regional Commissioner of Dar es Salaam.'
Kwa kuwa hawana credible evidence Wana tu credible information zuio lao ni null and void kisheria na halina uhalali Wala nguvu kisheria
Kwenye Sheria Kuna vitu viwili Kuna Credible evidence na credible information
Marekanii Walichonacho sio credible evidence Wana credible information
Statement yao kifupi eneo lenye utata hii Hapa na I quote
"Department has credible information that Makonda was involved in such violations in his capacity as the Regional Commissioner of Dar es Salaam.'
Kwa kuwa hawana credible evidence Wana tu credible information zuio lao ni null and void kisheria na halina uhalali Wala nguvu kisheria
I agree but decision was supposed to be done basing on credible evidence not credible informationYEHODAYA may be you don't know about evidence scenarios... It is from credible information that you can establish credible evidence... You cannot establish evidence without information
Jr[emoji769]