Statement ya Marekani ya zuio kwa watanzania ina utata huu kisheria

Hamna utofauti sana hapo iwapo aliyewapa hizo taarifa ndiye aliyefanyiwa vitendo vya uvunjifu wa haki zake. Mfano alitekwa pengine na kulawitiwa na akamtambua aliyemlawiti!
 
Hilo tamko Marekani linaweza kuwa challenged vizuri tu mahakamani na mtu akashinda mapema asubuhi .Hilo hata akikabidhiwa immigration lawyer aliyemallza chuo juzi anaibwaga chini serikali ya marekani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna ujinga mwingine ukiusoma unabaki kucheka tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sheria ipi na ya nchi gani? Kumbuka wnamzuia kwenda kwao Marekani. It matters very little weather credible evidence ipo au haipo, kwao inatosha kumpiga ban kwa maslahi yao wanayoyataka kuyafikia. Kumbuka pia kuwa credible information uleta credible evidence.
 
Unasubiri nini sasa kuwapeleka mahakamani? Au unasubiri mpaka watakapokuwa wamekunyima VISA?
 
Ungeanza kwa kutuambia tofauti kati ya "credible information" na "credible evidence", pamoja na kutoa mifano hai ya kila moja.
 
Mkuu kuna ushahidi wa picha, video ,sauti viongozi wetu wakitamka na kutenda.Mengine kusigina katiba yetu mfano ..." Nikuteuwe ,nikupe gari.....umtangaze mpinzani..."

Sent using Jamii Forums mobile app
na huu ndiyo upuuz CCM ilotulete kipindi hiki yani mtu huyu hastahili hata kuongoza kijiji
 
Hivi kwani taarifa haiwezi kuwa ushahidi ? Mfano mdogo tu ni ile clip ya clouds. Acha hizo tuhuma zinginw
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasisi tumpige ban Pompeo na Trump kwa sababu hizo hizo wasituchezee hawa sisi ni Taifa huru.
Wakati unatumia Twitter, Facebook, Google, Instagram, YouTube, Wikipedia, Android, window, Symbian, iPhone, IOS, ATM card, Chanjo, ARV
Wakigoma kutoa izo bidhaaa, tanzania inakuwa imekufa ndani ya dakika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sheria?? Pompeo ni mmoja wao wanaotimiza msimamo wa sheria wa Protocol of Elders of Zion
, Protocol no 12703. wako above the Goyim's Law. rukaruka , panda shuka na visheria vyako hawata kusikiliza. USA ni Super World Government. mifno bwena ipo bado hamuelewi! pwiii!
 
Sawa mke mwenza wa Bashite. Si upande ndege uende Marekani ukawaeleze hayo?

Huelewi kuwa evidence ni information na information ni evidence? Umefuzu chuo cha wajinga cha Lumumva rudi kwenye shule zenye kutambulika.
 
Na la Magufuli kuzuia mikutano ya kisiasa likoje kisheria, ukiachia mbali marufuku ya ugonjwa wa COVD-19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…