The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,668
- 99,003
Kumbe wewe ni mwanamke!!!Yaani NI Raha ipost kitu WhatsApp halafu baada ya lisaa views 60 aisee halafu kiwe kitu Una proud of kama Mimi mwenzenu mwanangu alivyo mzuri na Baba yake mwema aisee kwenye hii point hunambii kitu (bahati, upepo,nyota)
Kwani wewe ni mwanamke? Nilikua najua kuwa wewe ni dumeYaani NI Raha ipost kitu WhatsApp halafu baada ya lisaa views 60 aisee halafu kiwe kitu Una proud of kama Mimi mwenzenu mwanangu alivyo mzuri na Baba yake mwema aisee kwenye hii point hunambii kitu (bahati, upepo,nyota)
Haszu yule ndgu yake divisheni foo??Mwandiko kama Haszu aliyeisha chaji
Kama ni kweriiiii....basi ni masikitiko kweli kweli.Ni za UTUPU...ndio maana alikuta views 200 na missed calls 50