Status za WhatsApp zinakera Sana. Sitakuja kufungua ng'o!

Status za WhatsApp zinakera Sana. Sitakuja kufungua ng'o!

anti-Glazer

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2023
Posts
291
Reaction score
482
Kiuhalisia huku ni kupotezeana mb zetu bureee.

Yaani unaona mtu kaweka picha 87. Kutangaza biashara sio mbaya lkn ili uweke kwenye status na mvuto na desire kwa walengwa. Nimekuja kuona ni mpuuz pekee ataendelea kufumgua Kila status ya contact za Whatsapp friend and co.

Nimekuja kuona kwamba nawajua ninaofungua status zao, wengine na biashara zenu mtafunguliwa na wanaozitaka.

Status qwio? Yaani usumbufu tuuu. Sifungui ng'o
 
Usisahau wale tukijikwaa tunapost, tukila tunapost, tukinunua Simu mpya tunapost, tukikutana na Rafiki wa kitambo tunapost, tukitoka Nyumbani tunapost.... yaani ukifatilia status zetu unajua kabisa maisha yetu yalivyo hadi ndani kwetu kulivyo usitusahau #inakera
 
Binafsi nachagua watu wa kuangalia status zao, mimi mwenyew siwekagi status kabisa.
 
Statasi mtu ameweka nyama ya nguruwe picha 50,toka machinjioni mpaka anamaliza kuuza pumbu..
[emoji848][emoji848][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
Mimi status zipo nyingi ila nimprioritize status kama 7 hivi ndyo Huwa naziangalia wengine labda niwe na kifurushi Cha kutosha
 
Back
Top Bottom