Status za WhatsApp zinakera Sana. Sitakuja kufungua ng'o!

Status za WhatsApp zinakera Sana. Sitakuja kufungua ng'o!

Huu ni ufara mtu anaweka nyimbo nzimaa ya daimond😂😂
Mnalalamika Tigo wezi wa bundle kumbe ni nyinyi wenyewe ndio mnaendekeza vitu vya kipuuzi, sasa WhatsApp wewe status za nini?

Duniani huko nyumba zote zina internet, ukiwa Nyumbani ni unlimited internet, ndio maana watu wanatumiana link ya event mbalimbali na kuangalia live, Netflix and likes, sasa Wewe bundle la buku unaangaika na status za watu huo ni ujinga.
 
Back
Top Bottom