STEALTH (LOW OBSERVABLE) TECHNOLOGY | Teknolojia ya ndege kutoonekana/kutotambulika na rada (RADAR)

Pretty & Whitney nimekupata vyema mkuu nawakubali sana hawa jamaa
Ni Pratty & Whitney, pia General Dynamics (wote US). Kina Rolls-Royce (Uingereza) wanajua zaidi civilian engines za ndege kubwa. Engines za fighter hawatumiki sana. Wapo pia kina Safran kutoka France.
 
Hivi kumbe Rolls Royce (RR) amejikita zaidi katika Civilian Engines pekee nilijua pia ana manufacture na Military jet engines naomba kuuliza pia uingereza yeye hana kampuni ambayo 100% wanajihusisha na manufacturing ya hizi ndege vita?
 
BAE Systems iko mbioni kuja na Tempest ambayo ni advanced kuliko F-35. Kuanzia mwaka 2036 uko ndo wanatarajia ziwepo na itatumia umeme mwingi zaidi au inaweza kuwa hybrid!
Washakuwa nazo Panavia Tornado, Hawker Hurricane, Electric Lightning na pia wanazotumia sahivi Eurofighter Typhoon.
Mara nyingi wanashirikiana na Germany, Italy na Spain.
France wanakuwa na ndege zao kama Mirage-2000 na Dassault Rafale.
 
2036??? Yani kuna watu wameshaweka mpaka plan mwaka huo kitu gani kitakuwa tayari waanze kutumia. Aisee huku kwetu itafikia muda huo hata kiwanda cha electronics components bado. Sijui tulikosea wapi...
 
Post tamu
Thanks mkuu[emoji120]
 
MABORESHO ZAIDI:

The Aging F-16 Just Got a Stealth Paint Job

A Texas Air National Guard fighter squadron flying F-16s is one of the first units to paint its planes in a new, radar-absorbing paint scheme (Have Glass 5th generation). The paint signals the Air Force’s reluctant decision to keep old F-16s flying through the 2020s, at least.

MORE INFO: The Aging F-16 Just Got a Stealth Paint Job
 
PICHA: Ndege ya kivita aina ya F-16CM Fighting Falcon.

Ndege hiyo iko katika muonekano wa rangi mpya ya kijivu yenye kufyonza rada inayofahamika kama 'Have Glass 5th generation', ikiukaribia uwanja wa ndege wa kijeshi wa Aviano nchini Italia mnamo Juni 30, 2020. [The Aviationist]

Have Glass 5th generation ama kwa kifupi 'Have Glass V' ni toleo la tano la rangi maalumu za Have Glass zinazotumika katika kufyonza rada katika ndege za kivita. Rangi hii mpya ina muonekano unaofanana kwa kiasi fulani na ile itumikayo katika ndege za kisasa zaidi kama vile F-35 stealth fighters.
 
Nimemaliza kusoma huu uzi yaani nimejiona kabisa nafanyakazi NASA lol[emoji23]..... Hii Elimu watu wanalipia mamilioni huko vyuoni lakini JF free Heshima kwako mkuu.
 
Swadakta! Nakushukuru kwa kunielewa.
Mkuu mi nikuombe kitu kuna watu wameumbwa hivyo wana vichwa vigumu hata umlete nani hatoelewa.... Nakushauri achana na marumbano na wajinga anaona anaufahamu zaidi yako afungue uzi wake na yeye alete nondo na sio kuvamia uzi wa watu kwa kujifanya unajua.... Mkuu huwezi kumfurahisha kila mtu.
 
Nimemaliza kusoma huu uzi yaani nimejiona kabisa nafanyakazi NASA lol[emoji23]..... Hii Elimu watu wanalipia mamilioni huko vyuoni lakini JF free Heshima kwako mkuu.
Mkuu huko NASA nako watia nia wamenyimwa mshahara wa mwezi huu?
 
Nimemaliza kusoma huu uzi yaani nimejiona kabisa nafanyakazi NASA lol[emoji23]..... Hii Elimu watu wanalipia mamilioni huko vyuoni lakini JF free Heshima kwako mkuu.
Nakushukuru kwa heshima hiyo uliyonipa. Pamoja sana mkuu.
 
Mkuu T14 Armata katika chunguzi zangu nilikutana na kitu wanaita Anti radiation missiles hizi zinafanyaje kazi?
 
Japan to deploy F-35B stealth fighters from 2024 to step up defence of East China Sea islands

Local media reports say the airfield is some 1,030km northeast of the disputed Diaoyu Islands that are claimed by China but controlled by Japan.

The first squadron for the F-35B - each of which costs US$117 million - will comprise 18 fighters, with Japan scheduled to buy a total of 42 jets.

Soma zaidi:
SCMP | Japan to deploy F-35B stealth fighters from 2024 to step up defence of East China Sea islands
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…